Waziri Nundu agoma kujiuzulu!!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
waziri wa uchukuzi amesema hawezi kujiuzulu wadhifa wake maana haoni sababu za kufanya hvyo .aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari mjini dodoma.chanzo channel ten habari
 
hanakosa, tatizo yote yaliotokea ni maelekezo ya kikwete.... so sio kosa lake hila atayeye kichwa maji hafai kama ukimwi.
 
Mhe Waziri anahitaji msaada kutetea maslahi ya nchi katika bandari ya Dar. Mungu aingilie kati juhudi zake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom