Waziri Norway: Tunakula nguruwe na kunywa Pombe

Status
Not open for further replies.
Haaaaa,, Ukitaka cha uvunguni Hatuinui kitanda ni lazima Uiname tu,,
Hawataki kuficha ficha sura na Ulaji wa Nguruwe kwa kificho Norway ., safi sn mheshimiwa Waziri Mkubwa,, asiye taka na abakie kwao kusiko kaalika.
 
Utaishi kama unavyoishi kwenu. Internet ipo browse mujifunze sio mubaki na ubaguzi wa kijinga. Tanzania kuna idadi kubwa ya waislam na utaona kina mama wengi ausbuhi au hata jioni wanatembea mitaani na kanga za kifua je wakija wazungu na wao waambiwe wafuate mila zetu watembee mitaani na kanga au hawafai kuchanganyika na wananchi? Tumewaona viongozi wengi wakristo wamevaa Kanzu na Barghashia wakichamganyika na waislam miezinya Ramadhani na Eid. Je walilazimishwa?

Usifananishe Tanzania na Norway,, Tanzania siyo nchi ya kiislam Norway ni nchi ya kikisto,,

Mbona hutolei mfano wa nchi za kiarabu Kama Saudia ,, Afganstan nk vipi wanaruhusu ulaji wa Nguruwe huko na kuvaa bila kufunika sura?

Ikiwa kwa waislam ni sawa wakristo wakitaka yao kwenye nchi yao kwenu ni Ubaguzi.
Sasa waziri mkuu kashasema maaadam mmekwenda kwao Nguruwe mtakula na Hijab marfuku ofisi.
 
Tatizo waraabu wakienda ugenini,wao ndo wanataka nchi mwenyeji ibadilike, kama wataona kero si wakimbilie Uturuki na saud arabia huko
Alafu huu upuuzi wa Wajinga kadhaa wanahamia nchi yenu alafu wanataka kubadili sheria na tamaduni za jamii husika nauona huko Europe tu!! Huo upuuzi huwezi kuusikia China, Japan, Urusi au huku Africa.
Sipatii picha hapa Tz wahindi au waarabu waanze kulazimisha Mila na desturi zao zifuatwe hapa tz.
 
When in Rome, do as the Romans do
Kama unachukia wala nguruwe nenda kaombe hifadhi Afghanistan huko acheni kusumbua wazungu
Inategemea .je ukikuta mwanaume anajeuzwa uta do as Roman do?
 
Ile ni ardhi ya Allah, hapatakiwi kuwepo na Kanisa. Sisi tumepewa na Allah ardhi yote ya dunia hii tuiishi tutakavyo. Ndiyo maana popote tuendapo ni lazima wabadirike na kuushi tutakavyo .
Kwa jufanya huvyo tunakua tumetimuza kusudi la Allah kutupatia Dunia hii.
Allah anataka ardhi yote ya Dunia na tawala zake isimamiwe kwa misingi ya uislamu
Duu makubwa!
Norway...wanapata pesa nyingi sana kupitia hizo biashara za nguruwe na pombe, pesa hiyo inakuja pia tanzania kama msaada.
 
Safi, wengine tukienda nchi za waislamu tunawaheshimu, ila wao wakija kwako wanataka wewe ndio ubadilike ufuate principle zao. No way! Mtu ambaye hakubali ku-serve pork au alcohol simuajiri, atafute kazi ambapo hatohitajika ku-serve. Ni sawa na kumuajiri doctor alafu aje aseme mimi sitibu watu weusi natibu weupe tu.
Mmoja aliajiriwa kampuni ya usafi akasema kidini haruhusiwi kusafisha chooni. Mwenye kampuni kamwambia sawa nenda. Majuzi kaajiriwa nyingine anadeki kila mahali na mda wa msikitini anatawadha anaenda.
 
LAKINI HIYO HAITOI NAFASI KWA SISI PIA KUKAA KIMYA NA KUIKUBALI HALI AMBAYO TUNAJUA KABISA SIYO SAWA. "WHEN THEY GO LOW, LETS GO HI" LAZIMA TUONYESHE UTOFAUTI TUSIFATE NJIA SABABU ZIMETENGENEZWA NA WALIOPITA HAPANA! TUTENGENEZE ZETU NA TUWAACHE URITHI MPYA KIZAZI KINACHOKUJA.
Good thing hujaenda uarabuni. So endelea kutetea unachotetea. But ukipata chance, ukienda arabuni ule kitimoto na ukiweza fungua kanisa lako dogo
 
Norwy ni wabaguzi hata kwa watu weusi ndio Nchi ina samaki wengi ukanda ule mbona hakusema hayo wana sera za chini chini za raia wao kutokua karibu na mgeni mweusi. Sweeden ndio hakuna shida yeyote ya ubaguzi...
Waambie waende Sweden
Maneno hayo yamesemwa na mwanamama waziri toka chama cha Progress, Sylvi Listhaug aliyoyaweka katika ukurasa wake wa facebook, katika kuwakaribisha na kuwashauri wahamiaji wa kiislamu kujichanganya na jamii yao, alisema"nafikiri wanaokuja norway inawabidi wakubaliane na jamii yetu, hapa tunakula nguruwe,tunakunywa pombe na kuonyesha sura zetu,ni lazima uendane na sheria, taratibu zilizopo norway unapokuja hapa".

Hata hivyo mama huyo alipata upinzani mkubwa sana katika ukurasa huo wake,wengi wakimtaka ajiuzulu nafasi aliyonayo.

5808dcfbc3618823158b46c0.jpg


Norway’s controversial migration and integration minister has sparked a firestorm of criticism after issuing firm instructions to newly-arrived Muslim immigrants, but claims she was merely helping the newcomers find a true home in the Scandinavian country.

“I think those who come to Norway need to adapt to our society. Here we eat pork, drink alcohol and show our face. You must abide by the values, laws and regulations that are in Norway when you come here,” said a Facebook post by Progress Party minister Sylvi Listhaug, which has since gone viral, garnering 19,000 likes and 4,500 shares.


The post contained a link to an article in Dagbladet newspaper, in which the 38-year-old right-wing politician, who was appointed to her post in December of last year, expounded on her views.

“It is not society’s task to adapt to immigrants, and it is important that we signal clear requirements to them,” said Listhaug, speaking ahead of this week’s national conference on integration, adding that “the main thing is that those who come should learn the language and acquire a job, so that they can become self-supporting.”

Listhaug, who was previously the country’s agriculture minister, also spoke out against public institutions that no longer serve pork to avoid offending Muslims.

In less than a year, Norway’s number of new immigrants has fallen from an all-time record high of 32,000, to an expected 19-year-low of 3,550 new arrivals by the end 2016. To some extent, this can be explained by an overall fall in traffic into Europe, but it may also be attributed to a tightening of the system overseen by Listhaug, which includes payments to those who want to go home.



However, the minister, who is a member of the ruling Blue-Blue coalition between a mainstream conservative party and the populist Euroskeptic Progress Party, says that even those who have already arrived pose a number of issues.

“Going to a job interview, you wouldn’t wear sweatpants and a cap. So, don’t wear a niqab or a burka,” continued Listhaug. “In our country alcohol is a legal commodity, so if you work in a place that provides it, you can’t opt out of serving beer, wine or other drinks… We’ve had people refusing to handle pork.”

“Each of us has to pay attention to our surroundings, and the Norwegian taxpayer will not fund your life,” explained Listhaug, who has previously mentioned that there are particular problems connected with integrating Muslim women into the workforce.

‘Listhaug makes me frightened and and uneasy’
The response to Listhaug’s comments was immediate and scathing – with multiple calls for her resignation delivered through editorials and media interviews.

“Listhaug oversimplifies if she thinks dress, pork and alcohol are the main reasons immigrant women fail to integrate. It is important to find out what they can do, and offer them tuition and training,” Ann-Magritt Austena, head of the Norwegian Organization for Asylum Seekers (NOAS), told Dagbladet.



“If she does not understand the complexity and does not have the expertise to deal with these social issues in a good way, it’s time to ask: should Listhaug reconsider her position?”
Omar Gilani Syed, a leading public expert in migrant integration, wrote in the Aftenposten newspaper.

“Is this yet another populist statement with the aim to gathering as many as possible votes? For myself, I become frightened and uneasy at the thought of an integration minister who sweeps the really big problems under the carpet and reduces the whole integration debate to dealing with pork and alcohol,” he continued.

Zaineb Al-Samarai, a politician in the opposition Labour Party, lashed out in the Dagbladet.

“I do not believe that Norwegian culture is so weak that it’s going to lay down and die if someone chooses to wear a hijab as their national costume. Norwegian culture is not as weak or in danger as you believe. And Norwegian culture is about a lot more than pork and headgear.”

The ruling coalition has largely ignored the harsh backlash and generally echoed Listhaug’s statements when asked for comment.

“No, you probably wouldn’t get a job from me or from many others if you were wearing a niqab on you,” said Prime Minister Erna Solberg.

“I believe those who choose to wear the hijab or niqab desire to provoke. I would find it smarter if they instead used their time and energy to adapt themselves to Norwegian society,” chimed in Progress Party leader Siv Jensen.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom