Waziri Ngeleja malizana na kakobe mmalize kwa amani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Waziri nmgeleja malizana na askofu kakobe kuhusu upitishwaji wa nyaya
mmalizane kwa amani kwa niaba ya watanzania tuko nyuma yenu kwa maamuzi yoyote mtakayokubaliana Mungu awabariki na kuwalinda
 
'Ngoja ni hakikishe'

Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zacharia Kakobe akihakiki vipimo vilivyoko karika mchoro wa mradi wa umeme unaotakiwa kupita katika eneo la kanisa hilo, Mwenge, Dar es Salaam. Mradi huo ulizua utata miezi miwili iliyopita na sasa muafaka unaelekea kupatikana. (Picha na Gloria Tesha)
 
Back
Top Bottom