Waziri Nchimbi umetia aibu

Kwa nini wasimuulize Tenga? Mi naona mtu sahihi wa kujibu hilo ni Tenga viongozi wenzake ndio wanaotakiwa kuhakikisha nyavu za uwanja zinakuwa bora kabla ya mwashindano na pia uwepo wa standby generators, N aje kwa nini siku Ynga wakicheza ndio matatizo hutokea nyavu na umeme, Mi nahisi mbadala wa sheikh yahaya anatisha.:tonguez:

Nchimbi haswaa anahusika...kwani yeye Uwanja wa Taifa uko chini ya wizara yake ........Meneja mkuu wa uwanja wa taifa [benjamin mkapa national stadium ] yupo kwenye kurugenzi ya wizara ya michezo....hii inampa dhima waziri Nchimbi kisiasa kuwajibika kwa yafuatayo...

1] kwanini uwanja wa taifa viti havikarabatiwi..
2]huduma za usafi ndani ya uwanja wa taifa imekuwa duni..
3]huduma ya biashara ndogo ndogo ..kama maji .pipi, etc imekuwa holela mno wakati uwanja umekuwa deesigned kuwa na hizo huduma kwenye corridors zake ie mini groceries and snack stalls ....sipo na hazitumiwi.
4]ubora wa nyasi unashuka toka wakabidhiwe
5]kwanini uwanja unakosa stand by generator..wakati mapato yanapatikana ya kutisha ..generator ya kutosha kuwasha taa pale haifiki milioni 120.
6]Pesa zinazopatikana pale uwanjani zinatumikaje..
7] tunaomba uwanja wa taifa uendeshwe na kampuuni huru hata kama serikali itakuwa na hisa iuze hisa kwa wananchi na vilabu....
8]au mchakato wa mwendeeshaji uwanja ukamilike ipewe kampuni ya kimataifa....
 
Dah! ..sikujua kwamba ni moja wapo ya majukumu ya waziri katika serikali ya Tanzania mwenye dhamana ya michezo kuhakikisha kwamba nyavu za magoli zimefungwa sawasawa au kama standby generator ya uwanja wa taifa iko operational, sikulijua hili.

Kama hukujua pole sana. Uwanja unamilikiwa na serikali na yeye kama Waziri wa mwenye dhamana ya michezo alipashwa yeye binafsi au watendaji kwenye wizara yake wahakikishe uwanjani kuna power back-up na nyavu ziko katika standard inayokubalika!!!!

Tiba
 
The country is under leadership of morons and thugs who doesn't give a **** about the well being of this nations only their fat bellies.
 
Najuta kuzaliwa tanzania,jana ndio dunia kupitia dstv walijua tanzania ni nchi ya vichekesho.umeme unakatwa wakati kila mtu anajua dunia inatuona?waziri naye kaumbuka waziwazi na jk kama kawaida anapangua mawingu.steven wasirra atasema chadema wanahusika na huo ni uchochezi!!!



yaliyotokea jana uwanja wa taifa umeme kukatika ni jambo la aibu kwa nchi yetu tanzania. Nilikuwa naangalia mpira kupitia super sport
walichofanya ili kufinya aibu ni kuweka matangazo ya biashara.
Nilijaribu kufuatilia kupitia star tv, nilichokiona ni aibu sana. Ambulance ya kubebea wagonjwa ndio ilitumika kumulika eneo la
kukabidhiwa zawadi na kombe.
Waziri wa michezo alionekana akipiga simu nahisi zilikuwa za kuomba umeme urudishwe bila mafanikio.

Hii ni aibu kwa nchi yetu tanzania.
 
Huyu mchovu kwanza kashatoa vazi la taifa alilodecree miezi sita kulisuka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom