waziri nchimbi kapima upepo, kaamua kumkaanga Spika wa Bunge baada ya kutoa ukweli wake!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Nimeangalia video clip iliyorushwa na Star TV leo asubuhi, inayoelezea yaliyojiri bungeni jana baada ya Hamad Rashid kuomba muongozo na kujibiwa majibu ya kifedhuli na Spika wa Bunge ( Namfananisha na Bi-Mkora wa katuni za gazeti la mwananchi). Mara baada ya wabunge wa vyama pinzani kutoka bungeni, nimemuelewa kifasaha ndugu Nchimbi baada ya kutoa kauli yake ....... Kumbe spika alikuwa na taarifa mapema kabisa!
 
Nchimbi, Makinda na kampuni lao lote, wote si lolote si chochote zaidi ya kuwa viazi tu ambao wamepata bahati ya kutawala wajinga.
Call your enemy what you are, and always tell exact opposite of the truth.
 
Wote ni wale wale tu, hakuna cha kukaanga wala kukaangwa maana hawataungua wala kuiva
 
Back
Top Bottom