Waziri Nchimbi anaposema waliofanya uharibifu ni wahuni... Anajaribu kupoteza ukweli?

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?
 
Absurdities never lack believers in Magamba's Party. And parties that believe in absurdities always commit atrocities.
 
Yaani CHADEMA wakisikia neno KANISA akili zinawaruka kabisa, hv muna interest gani kwenye kanisa?
 
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?

Hata mimi nimesikia kuna sehemu ni kijiwe cha mpira huwa tunaangalia watu zaidi ya 100 hv,wakati huo wa taarifa ya habari kuna mchezo kati ya Arsenal vs Norwich so upande mmoja watu waliomba tuangalie taarifa ya habari ndo tukakutana na hiyo kauli ya Nchimbi kweli watu wamekasilika sana na hapa chini ni maswali ambayo wameuliza
1. Je hii mihadhala mbone wameizuia kwa mwezi mmoja wakati wenye mihadhala hawahusiki bali ni wahusika ni wahuni
2. Ilikuwaje mf.uchomaji wa makanisa mbagala watu wakatokea msikitini na kwenda kuchoma kanisa
3. Kwa nini hawa wahuni hawajawahi kuchoma hata msikiti mmoja hapa TZ
4. Kwa nini shekh Ponda amekamatwa au na yy ni mhuni
5. Je Nchimbi alimsikia Kova wakati anasifia ukristu kuwa ni wavumilivu sana mbona hakuwataja waislam
6. Inakuwaje Zenji watoe waraka wa kutaka kukata vichwa kwa viongozi wa dini flani.

Ndugu yangu Nchimbi hizi dhambi zinazo sababishwa na unafiki wako lini utazitubu ndugu yangu hata kama ni kubembeleza cheo siyo hivyo au unaogopa utakuwa chizi usiogope kwani dogo wa mbagala yupo kitaa anadunda tu, badilika ndg!
 
Sijawahi kukaaa nimwamini nchimbi, na sitokaa nimwamini Kiongozi yeyote aliyepitia UVCCM ambayo kwangu naiita tanuru la kutengeneza vijana wanafiki, waongo na wanaojipendekeza tanzania.huyu NChimbi anaweweseka nasikia kuna watu wanamdanganya kuwa naye anaweza kuwa rais hivyo ka defect kutoka kwa mvi.
 
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?

Hujamwelewa Waziri Mkuu. Anasema lililo sahihi..hao watu ni wahuni. Waziri wetu ametumia tafsida hapo

Tafakari utamwelewa fasihi yake
 
Nchimbi ni mnafiki tena unafiki wa kutupwa,majibu yake ya kitoto yatamtokea puani.akumbuke kwamba majibu anayo yatoa ni kwa watanzania wasomi wanaojua kutafsiri na sio watanzania wa miaka hiyo.nchimbi nimwambie tu kwamba tumekuchoka na mambo yakoo ya kitoto.lakini kwa upande mwingine simshangai sana nchimbi kwani haya ndio matunda ya vyeo vya kupeana ili walindane.alichokisema waziri kingesemwa na mwanafunzii wa nursery school.
 
Yaani CHADEMA wakisikia neno KANISA akili zinawaruka kabisa, hv muna interest gani kwenye kanisa?

we pimbi kweli, yaani uharibifu wa mali wa waziwaz wa hawa wavaa ndala unasema cdm na interest? Inauma coz huwa tunachanga pesa zetu mifukoni na sadaka ndio zinajenga kanisa, inauma kwa kuwa huwa inatuchukua miaka mingi kukamilisha ujenzi wa kanisa halafu hawa mafukara wa akili wanakuja na kutuharibia kwa siku moja, Mungu atawalipia mwenyewe, trust me
 
Kamata hii....tulia kwanza...
View attachment 68844
 
Mimi naona kunatatizo katika mfumo mzima wa utawala wa nchi hii. Viongozi hawana tena umoja na wala Raisi wa nchi hana udhibiti kwa baraza lake la mawaziri. Angalia kila waziri anaongelea kila jambo na kutoa kauli zisizo makini na zinazo kinzana. Angalia kwa mtazamo wa haraka tu, huyu Nchimbi alitakiwa kuwa amewajibika toke matukio ya Morogoro na Iringa lakini WAPI!...
Sina uhakika kama kamati ya ulinzi na usalama haijui jinsi dola ilivyo liandaa bomu hili la udini kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010, hoja ambayo haikupata mashiko lakini bado mkuu wa nchi aliuelezea uma kuwa tatizo kubwa la TZ ni udini na wala si udhaifu wa raisi na serikali yake.
Hakika tunatakiwa kubadili uongozi wa taifa hili ili nasisi tufaidi rasilimali ambazo Mungu ametujali wa Tanzania.
 
Inakuaje hao wahuni wanaoshikiliwa, waislam wanataka waachiwe bila masharti?
 
nilikuwa najua kuwa waenda kuswali msikitini ni waislam, kwa kauri ya Nchimbi waliotoka misikini na kuchoma/kuiba makanisani ni wahuni, maana yake wale waisilam wanaotoka misikitini ni wahuni?
 
Katika taarifa saa mbili usiku TBC, waziri Nchimbi anasema si haki kusema makanisa yaliporwa na waislamu, ila ni wahuni tu.
Je kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna haja gani ya kuzuia mihadhara ya kidini kwa mwezi mmoja, je si kuwanyima haki wanadini iwapo wanaoleta vurugu si vikundi vya dini?
Je huu si ukanganyaji wa ukweli toka ngazi za juu.?

Anazidi kunipandisha hasira huyu. WHAAAAT?
 
Back
Top Bottom