Waziri nagu aagiza kina mama arumeru waandike majina ili wapatiwe misaada

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
katika mbinu za kuwarubuni kina mama wa meru waziri wa uwekezaji amewaagiza kina mama waandike majina ili wapatiwe misaada.
Mytake:
Hivi nyie magamba mtaendelea kuwarubuni wananchi mpaka lini?na kwanini wakati wa uchaguzi tu?
 
Huyu mama akiwa kwenye mkutano tengeru aliwaadi wananchi kuwa watajenga maeneo huru ya uwekezaji ambayo yatatoa ajira kwa vijana lakini akasema hilo litawezekana tu kama watamchagua sioi.
Hii ni Comedy
 
Hii ni kinyume kabisa na sheria za uchaguzi. Ni rushwa. Wanasheria wa CHADEMA wachukusanye details.
 
sijui hata kama ajua kasema hayo maneno.

Wameshindwa toa huduma za lazima sembuse misaada?
Wawapelekee TBC.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Daraja la Magufuli kule Igunga sijui Kama lipo tayari, CCM kweli ni wapuuzi

Mkuu kina mama wanapigana vikumbo kuandika hayo majina ili wapewe hiyo misaada inasemaka wameahidiwa 3mil kwa kila kikundi japo kuna wengine wameanza kushtukia kuwa hili ni changa ili wawape kura then wanawatupa kule
 
Hii ni kinyume kabisa na sheria za uchaguzi. Ni rushwa. Wanasheria wa CHADEMA wachukusanye details.

Pia hata cdm kwenye campaign inabidi waendelee na elimu kwa hawa kina mama na vikundi vya vijana coz ndo main target...nasika sophia simba na baadhi ya madiwani kutoka maeneo mbali mbali wanapita nyumba kwa nyumba
 
The only magamba leader/member you can trust is a dead magamba leader/member
 
Huyu mama akiwa kwenye mkutano tengeru aliwaadi wananchi kuwa watajenga maeneo huru ya uwekezaji ambayo yatatoa ajira kwa vijana lakini akasema hilo litawezekana tu kama watamchagua sioi.
Hii ni Comedy

Kule jimboni kwake amejenga nini? Kuna uwekezaji gani jimboni kwa Mary Nagu? Nitarudia tena, huyu mama ameshindwa kuwatetea vijana wanaolima vitungu wanadhulimiwa na wanunuzi toka Kenya lakini yeye yuko busy anaandika list ya porojo!
 
Mkuu kina mama wanapigana vikumbo kuandika hayo majina ili wapewe hiyo misaada inasemaka wameahidiwa 3mil kwa kila kikundi japo kuna wengine wameanza kushtukia kuwa hili ni changa ili wawape kura then wanawatupa kule

Mkuu Kama hawajajifunza toka Igunga wana Hali mbaya na jamaa akishapata kura na kutoweka wasilalamike. Serikali Pesa haina, hizo za kukopesha vikundi vya kina mama and only Arumeru, and why now inapatikana wapi? Kazi ipo
 
Kule jimboni kwake amejenga nini? Kuna uwekezaji gani jimboni kwa Mary Nagu? Nitarudia tena, huyu mama ameshindwa kuwatetea vijana wanaolima vitungu wanadhulimiwa na wanunuzi toka Kenya lakini yeye yuko busy anaandika list ya porojo!

Anaweza kuwa ameshinikizwa aje Arumeru kuahidi kina mama wenzake
 
Mkuu kina mama wanapigana vikumbo kuandika hayo majina ili wapewe hiyo misaada inasemaka wameahidiwa 3mil kwa kila kikundi japo kuna wengine wameanza kushtukia kuwa hili ni changa ili wawape kura then wanawatupa kule

Hao akina mama wajiandikishe tena kwa wingi kabisa lakini kura WAFANYE KWELI!. Baada ya uchaguzi wamkalishe kikao Nagu na kudai hela zao.
 
Hivi huyu mwanamke anajua kweli hii dhambi ya udanganyifu itakavyomtesa mpaka na uzao wake. Alafu bibi kama huyu Nagu hataki kustaafu Siasa mwenyewe amuulize Getrude Mongela
 
Huyu mama akiwa kwenye mkutano tengeru aliwaadi wananchi kuwa watajenga maeneo huru ya uwekezaji ambayo yatatoa ajira kwa vijana lakini akasema hilo litawezekana tu kama watamchagua sioi.
Hii ni Comedy

Hii wanaita Blackmail!
Maskini wanameru mko tayari kutema big G kwa karanga za kuonja ?
 
Back
Top Bottom