Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Tatizo la watanzania mnataka likiwanda likuuuubwa kama la Urafiki. Kumbe hata ile mashine ya kusaga unga ni kiwanda. Na Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya viwanda na ghafla tu viko 52,000Dah kwa viwanda elfu 52 nadhani hata ujerumani nchi iliyoendelea zaidi ulaya kiviwanda haitufikii,
Uwongo mwingine bwana wala huhitaji PhD kung'amua