data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,137
- 22,709
Naunga mkono........Asilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
Naunga mkono........Asilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
........Ipo wapi mkuu
Una uhakika alichaguliwaAwamu hii mtalewa sana, maana mumechagua wenyewe pombe.
Mnauwezo wa ku supply kwa kiwango anachotaka?Huna adabu wewe,
Unataka serikali impe Dangote Makaa ya mawe bure? au Gas bure? Serikali ikikubali kumpunguzia bei ya makaa ya mawe au gas wengine nao watalalamika.
Sasa, kipi nafuu, Ununue Makaa hapa nchini au uagize Afrika kusini wakati sisi tunayo?
Acheni ushamba,,,, Huyo Dangote amekuwa Mungu sasa?
Ajira gani...mnaweza kuchimba makaa ya mawe nyie wazaramo? Mnakaa ckunzima kiongea na simu na kupiga story tu alafu eti ajira zitakufa...to hell.Sasa Unataka serikali ifanyeje?
Impe Makaa au Gas bure au?
au impe kibali aendelee kuagiza Afrika kusini wakati sisi tunayo? hizo ajira zote zife?
Ma zygot wote tu...upupu mtupuHapa tumeingizwa choo cha kike mkuu, Tanzania hatuna viongozi badala yake tuna mamluki
Polepole mkuu, hao jamaa hawachelewi kukufikisha mahakamani na kuhakikisha dhamana hupati hata kama ni haki yakko Kisheria.Asilimia 98 ya serikali hii wana fikiria kwa kutumia vioungo tunavyokalia na kutolea haja either kubwa ama ndogo wakiongozwa na John Punguani Mbumbumbu
Kama ni kweli ametoa hiyo kauli siogopi kusema huu ni mkakati maalum uliopangiliwa vizuri na Compitetors wa Dangote, na huyo atakuwa amehongwa na kufanikisha hilo.Habari wakuu,..
Huu ni muendelezo wa kauli tata za viongozi wetu juu sintofahamu kubwa iliyopo kati ya Serikali na kiwanda cha mfanyabiashara mkubwa Dangote.
Kauli hiyo ameisema Waziri mwenye dhamana ya viwanda, Bw Charles Mwijage.
Nimeshangaa kuona kiongozi kama huyu kukosa hata simple theory ya mambo ya uchumi, yaani suala la Demand/Supply/Price.
Ameshindwa kujua kiwanda cha Dangote kinachozalisha sementi kilifanya Suppy ya sementi uraiani kuwa kubwa, hali iliyopelekea Price au bei ya sementi hata kwa viwanda vingine kushuka kutokana na ushindani hivyo kupelekea watu wengi kumudu kununua sementi.
Badala yake ametujia na "NGONJERA" Ati kwamba sementi inapatikana tusijali, ameshindwa kutafakari kwamba baada ya Dangote kuondoka sokoni bei ya sementi iliyokuwa imeshuka itapanda na hata wananchi waliokuwa na matumaini ya kujenga watakwama.
Wananchi ndiyo tunaumia, tunaomba serikali imalize mvutano na huyu mfanyabiashara..
Chanzo : TBC Taifa.
Mbona wengine wanachimba dhahabu zenu kwa mrahaba wa 3% na wao wanachukua mpaka mchanga yaani 97% hamsemi au kwa kuwa ni Wazungu? Ila mweusi mwenzenu mapovu yanawatoka! Nyeusi still remains black forever!Hivi hakuna jambo lingine Muhimu Zaidi ya hili la Dangote? Tumechoka kujadili hili swala la Dangote, anunue Makaa yetu ya hapa ndani hataki aache, ulishaona mtu unajipangia bei unayotaka kuuziwa bidhaa? yaan anajipangia bei ya gas yetu eti auziwe kwa $ 4 :75? bei hii ni ya kuchimbia gas visimani sasa yeye anataka auziwe.
Ninachokiona hapa ni kwamba, Kuna Mawaziri wa serikali iliyopita na baadhi wa ya sasa ambao wana hisa huko ndio wanaotaka kumtikisa JPM, bwanae, hataki afunge kiwanda, hatuwezi kumbembeleza mtu kwa raslimali zetu, hataki afunge, kabla yake kwani tulikuwa hatujengi nyumba?
Kwanza, Nyati wanajenga kiwanda kingine Bagamoyo cha tani Milioni 3 kwa mwaka, hataki kutusikiliza na sisi aondoke...
Si biashara huria mikataba yenu inasemaje? Kama kuna sehemu inayompa haki ya kuagiza malighafi popote sasa kosa lake nini?Huna adabu wewe,
Unataka serikali impe Dangote Makaa ya mawe bure? au Gas bure? Serikali ikikubali kumpunguzia bei ya makaa ya mawe au gas wengine nao watalalamika.
Sasa, kipi nafuu, Ununue Makaa hapa nchini au uagize Afrika kusini wakati sisi tunayo?
Acheni ushamba,,,, Huyo Dangote amekuwa Mungu sasa?
Sasa kama yenu ni ghari aendelee kuzalisha kwa hasara ndio mnataka nchi ya viwanda, viwanda kwa siasa zipi?Sasa Unataka serikali ifanyeje?
Impe Makaa au Gas bure au?
au impe kibali aendelee kuagiza Afrika kusini wakati sisi tunayo? hizo ajira zote zife?
John Punguani MbumbumbuHuna adabu wewe,
Unataka serikali impe Dangote Makaa ya mawe bure? au Gas bure? Serikali ikikubali kumpunguzia bei ya makaa ya mawe au gas wengine nao watalalamika.
Sasa, kipi nafuu, Ununue Makaa hapa nchini au uagize Afrika kusini wakati sisi tunayo?
Acheni ushamba,,,, Huyo Dangote amekuwa Mungu sasa?
Kufungwa kwa kiwanda cha Dangote kitakuwa na hasara kubwa sana kwetu watanzania. Kwanza ajira 1000 kwa watanzania zitakosekana, pia tulishaanza kufaidi cement kwa 11500 tu, na sasa itapanda kurudi kulekule 15,000, tatu suppliers mbali mbali watakaokuwa wanapata kazi kwa kuwepo kiwanda kile watakosa kazi. Bila kusahau kodi ambayo tutakosa itakayoweza kuziba pengo la angalau dawa hospitalini au elimu kwa watoto wetu. Na maendeleo yatakayopatina Mtwara kwa sababu ya kiwanda je? Hizi ni baadhi tu ya hasara tutakazopata kama watanzania. Hicho kiwanda tunakihitaji sana kwa maendeleo ya Taifa hili. Kwanza tokea ubinafsishaji wa mashirika ya umma nchi hii haijapata mwekezaji wa maana. Wawekezaji wote wanawekeza katika miradi midogo midogo inayorudisha hela zao haraka. Huu ni uwekezaji mkubwa sana wenye multiplier effect nyingi sana na very beneficial. Nadhani serikali yetu tukufu italiangalia hili suala kwa uzito wake. Nasikia Kenya wako tayari kumpa eneo bure, makaa ya mawe bure kwa kipindi fulani ma kugharamia gharama za kuhamisha mitambo. Sijui kama taarifa hizi ni za kweli.Habari wakuu,..
Huu ni muendelezo wa kauli tata za viongozi wetu juu sintofahamu kubwa iliyopo kati ya Serikali na kiwanda cha mfanyabiashara mkubwa Dangote.
Kauli hiyo ameisema Waziri mwenye dhamana ya viwanda, Bw Charles Mwijage.
Nimeshangaa kuona kiongozi kama huyu kukosa hata simple theory ya mambo ya uchumi, yaani suala la Demand/Supply/Price.
Ameshindwa kujua kiwanda cha Dangote kinachozalisha sementi kilifanya Suppy ya sementi uraiani kuwa kubwa, hali iliyopelekea Price au bei ya sementi hata kwa viwanda vingine kushuka kutokana na ushindani hivyo kupelekea watu wengi kumudu kununua sementi.
Badala yake ametujia na "NGONJERA" Ati kwamba sementi inapatikana tusijali, ameshindwa kutafakari kwamba baada ya Dangote kuondoka sokoni bei ya sementi iliyokuwa imeshuka itapanda na hata wananchi waliokuwa na matumaini ya kujenga watakwama.
Wananchi ndiyo tunaumia, tunaomba serikali imalize mvutano na huyu mfanyabiashara..
Chanzo : TBC Taifa.
Unataka uandikiwe kirumi mkuu?Kufungwa kwa kiwanda cha Dangote kitakuwa na hasara kubwa sana kwetu watanzania. Kwanza ajira 1000 kwa watanzania zitakosekana, pia tulishaanza kufaidi cement kwa 11500 tu, na sasa itapanda kurudi kulekule 15,000, tatu suppliers mbali mbali watakaokuwa wanapata kazi kwa kuwepo kiwanda kile watakosa kazi. Bila kusahau kodi ambayo tutakosa itakayoweza kuziba pengo la angalau dawa hospitalini au elimu kwa watoto wetu. Na maendeleo yatakayopatina Mtwara kwa sababu ya kiwanda je? Hizi ni baadhi tu ya hasara tutakazopata kama watanzania. Hicho kiwanda tunakihitaji sana kwa maendeleo ya Taifa hili. Kwanza tokea ubinafsishaji wa mashirika ya umma nchi hii haijapata mwekezaji wa maana. Wawekezaji wote wanawekeza katika miradi midogo midogo inayorudisha hela zao haraka. Huu ni uwekezaji mkubwa sana wenye multiplier effect nyingi sana na very beneficial. Nadhani serikali yetu tukufu italiangalia hili suala kwa uzito wake. Nasikia Kenya wako tayari kumpa eneo bure, makaa ya mawe bure kwa kipindi fulani ma kugharamia gharama za kuhamisha mitambo. Sijui kama taarifa hizi ni za kweli.