King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,656
- 68,602
"Tanzania was formed in one nineteen sixty four by unifying the indian ocean islands of zimbabwe and pemba"'-Hon Mulugo Philipo Augustino Dep. Minister of Education
Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye mwenyewe Elimu yake ina walakini? Hawezi hata kulocate Zimbabwe katika ramani ya dunia?
Mbona ile Power Point imeandikwa Pemba & Zanzibar lakini yeye akasema Zimbabwe & Pemba.
Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye mwenyewe Elimu yake ina walakini? Hawezi hata kulocate Zimbabwe katika ramani ya dunia?
Ni kumshikia kidedea aondoke kwenye ofisi nyeti kama hiyo, JK ampangie kazi nyingine anatuaibisha sana. Hafai kwenye hiyo nafasi. Hope UWT wanaiona hiyo aibu, na watasaidia kufikisha ujumbe!!
Sikonge hapa umeniangusha ndugu yangu! Hivi uwezo wa mtu unaangaliwa kutokana na dini yake? Angalia CV yake hii hapa uone kama aliwahi kusoma seminary huyu!Hahahahaa.......
Halafu ni MKRISTO. Hapo unaona sasa kwa nini Wakatoliki (mie siyo Mkatoliki) vijana wao wazuri sana.
Huu UPUUZI huwezi ukasema umepitia Seminary..... AIBU.