Waziri Mulugo, Sasa Nakubaliana Rasmi na Jumuia ya Uamsho na Sheikh Ponda

Dr.Who

Senior Member
Jun 23, 2012
173
33
Kitendo cha Waziri wa Elimu, Phillipo Augostino Mulugo kuaibisha Nchi yetu mbele ya alaiki ya wageni south Afrika si cha kufumbia macho, nilazima awajibishwe.

Waziri huyo wa Elimu alisema, muungano wa Tanzania inatokana na muungano wa Visiwa vya Pemba na Zimbabwe.

Kitendo hicho kinachoonyesha viongozi wetu wengi hawana ufahamu wa asili na makubaliano ya muungano, wamekariri maneno ya Nyerere, sasa niwakati wa kuuangalia upya muungano tulio nao au kuuvunja ikibidi.

Ulevi uliokubuhu unachangia kiasi kikubwa kwa viongozi wetu kuwa na utendaji na maamuzi mabovu, viongozi wetu baada ya kazi wanakesha vilabu vya pombe katika ya wiki (Monday-Sunday) ambapo anategemewa asubuhi ku-ripoti ofisini.

kwa wale wanao elewa athari za ulevi, kitendo cha kunywa pombe nusu usiku, unapo amka hangover itaendelea hadi mchana wote, inawezekana kabisa hiki ndicho kilicho mpata waziri wetu wa elimu.

Kwa hayo naungana na Uamsho pamoja na Sheikh Ponda kpambana muungano dhalimu na ulevi holela hasa jijini Dar ambao unachochea ufisadi, Ukimwi,utendaji mbovu wa Kazi n.k
 
Blue yote ni pumba tupu! nenda kajipange upya.

Hivi ilikuwaje mpaka aseme hivyo? Unajua haiingii akilini kwa mtu mzima kuteleza kiasi hicho? Huyu atakuwa mpumb.avu tu maana hata mtoto wa drs la 4 anajua muungano umetokana na nini?! Waziri wa ilimu hujui hata Zimbabwe? Pemba imetajwa wapi kwenye muungano kama nchi? Hili jibaba ni gunia la misumari kwenye upara!
 
Umeharibu mwishoni unataka sharia na mahakama ya kadhi

Sitaki sheria, bali unywaji pombe kiholela, hasa katikati ya wiki, unapunguza pefermance ya mfanya kazi, unaathiri uchumi wetu, as result Mawaziri wanaongea Pumba kama hizi.
 
Hawa ndio wasomi tunojivunia kila kukicha eti ' SISI TUNAELIMU'huyo ni sample tu ya uozo uliopo NECTA.
 
Hivi ilikuwaje mpaka aseme hivyo? Unajua haiingii akilini kwa mtu mzima kuteleza kiasi hicho? Huyu atakuwa mpumb.avu tu maana hata mtoto wa drs la 4 anajua muungano umetokana na nini?! Waziri wa ilimu hujui hata Zimbabwe? Pemba imetajwa wapi kwenye muungano kama nchi? Hili jibaba ni gunia la misumari kwenye upara!
Hata kama angesema muungano wa Pemba na Zanzibar lingekuwa ni kosa vilevile.
Alitaka kupandikiza mbegu ya ufitina kuwafitini Waunguja na Wapemba matokea yako ameadhirika Dunia nzima ikimshuhudia!
 
Kitendo cha Waziri wa Elimu, Phillipo Augostino Mulugo kuaibisha Nchi yetu mbele ya alaiki ya wageni south Afrika si cha kufumbia macho, nilazima awajibishwe.

Waziri huyo wa Elimu alisema, muungano wa Tanzania inatokana na muungano wa Visiwa vya Pemba na Zimbabwe.

Kitendo hicho kinachoonyesha viongozi wetu wengi hawana ufahamu wa asili na makubaliano ya muungano, wamekariri maneno ya Nyerere, sasa niwakati wa kuuangalia upya muungano tulio nao au kuuvunja ikibidi.

Ulevi uliokubuhu unachangia kiasi kikubwa kwa viongozi wetu kuwa na utendaji na maamuzi mabovu, viongozi wetu baada ya kazi wanakesha vilabu vya pombe katika ya wiki (Monday-Sunday) ambapo anategemewa asubuhi ku-ripoti ofisini.

kwa wale wanao elewa athari za ulevi, kitendo cha kunywa pombe nusu usiku, unapo amka hangover itaendelea hadi mchana wote, inawezekana kabisa hiki ndicho kilicho mpata waziri wetu wa elimu.

Kwa hayo naungana na Uamsho pamoja na Sheikh Ponda kpambana muungano dhalimu na ulevi holela hasa jijini Dar ambao unachochea ufisadi, Ukimwi,utendaji mbovu wa Kazi n.k

Mkuu, siku hizi watu wamelimika vya kutosha consequently you can't fool a nobody!! Hapa unajifanya kumsema vibaya Waziri wa Elimu, kumbe lengo lako kubwa ni ku-support mambo ya Uamsho zaidi, Sheikh PONDA umemuongezea hapa kughilibu WATU tu; nilisha sema humu kwamba Public Enemy number one wa TAIFA letu ni genge la UAMSHO, actually reading between the lines inaonyesha wazi wazi kwamba wewe ni active member wa UAMSHO, wenye busara usema actions (comments) speaks Volume, naona katika post yako vile vile umekemea vices zote duniani zinazo fanyika hapa DAR (would U beleave it!)as if tatizo hilo linawakumba watu wa BARA tu, visiwani wako immune.

Tell U what? Sheikh PONDA ni rahisi sana kumkalisha chini akaelimishwa mpaka hatua ya ku-bring his haywire sense back to normal, lakini nyinyi watu wa uamsho shida yenu kubwa ni kutaka kuvunja Muungano mnaogezea mambo ya dini kama publicity STUNT. Ungekuwa muumini wa kweli wa dini ya kislaam unge-preach upendo, amani, mshikamano na siyo mambo ya utengano na kucharanga mapanga askali wasio na hatia.

Mkuu, ukitaka kuwa muongo/mpotoshaji aliye kubuhu unapaswa kuwa SMARTER at all times kuliko watu unao wadanganya - tangu lini Sheikh PONDA akazungumzia the so-called "Kupambana na Muungano dhalimu????" Pamoja na mapungufu ya Sheikh Ponda kama binadamu wengine tulivyo, mimi na amini kwamba PONDA ni mtu mzalendo ambaye hawezi ku-incite wafuasi wake to kill innocent TANZANIANS unlike Genghis KHANS (Muamsho).
 
Well spoken, like*3
 
Back
Top Bottom