Waziri Mpango yuko Korea kaenda kukopa Exim bank

Safi sana hayo Ndio maendeleo
Hamuelewek kwakweli kauli ya kwamba tunahela nyingi hela zao zamisaada (MCC) hatuzitaki mkapiga makofi kwamba hatuzitaki zile hela za maendeleo leo tunaenda kopa Tena na riba juu unasema safi Ndio maendeleo... Hebu tuwe na aibu kidogo daaaah
 
Bajeti ya nchi hii inaheshimiwa na waliopo madarakani?
We unaonaje?

Mkuu usipende kuuliza maswali ambayo majibu yake unayo.

Bajeti ya serikali kila mwezi inaripotiwa na mikopo yote inayopkelewa na grants etc inaonyeshwa .

Kama unaona kuna sehemu kuna matatizo, si uyaainishe? Ya nini kuongea tu bila kutoa vielelezo?

What makes you think I will believe your views?
 
Hiki ulichoandika hapa kinaonyesha jinsi ulivyo na uelewa mdogo kuhusu deni la Taifa. Uliza kitu kama huelewi badala ya kuandika vitu ambavyo haviingii akilini.
Huwezi kuelewa kwa sababu umeamua kuwa nunda ila ni Haki yako Kikatiba.
 
Back
Top Bottom