Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,045
- 10,329
Hawa exim bank ya China watakuja kuuza hii nchi kufidia deni lao.
Mikopo yote itakayochukua Serikali ya awamu ya tano nina uhakika hizo fedha zitatumika vizuri"Source chanell ten.
Yuko China na kasain mikataba ya mikopo chini ya benki ya exim bank na ADB kwa ajili ya maji taka ya mji wa Dar na mkopo mwingine ni kwa ajili ya umeme wa Mbeya - Kigoma
eti hata vikifumuka bei eti tutazarisha wenyewe...eti sijui ndiyo tutakua hatutumi dolali...yaani kipindi hiki wachumi wetu utadhani ndiyo wamekata semesta ya kwanza ya uchumi pale dizim...fulu mandoto ya kuifukuzia na kuikamata marikani. Kujua difinishens tu wanajiona majinazi wa uchumi.
Ngoja tuwemo ili tuuone mwisho wake.
Mpaka awamu hii ipite tutakuwa tunanuka madeni.Mikopo yote itakayochukua Serikali ya awamu ya tano nina uhakika hizo fedha zitatumika vizuri"
Sio china ni koreaSource chanell ten.
Yuko China na kasain mikataba ya mikopo chini ya benki ya exim bank na ADB kwa ajili ya maji taka ya mji wa Dar na mkopo mwingine ni kwa ajili ya umeme wa Mbeya - Kigoma
Fedha silizotumika vibaya ni zipi?Mikopo yote itakayochukua Serikali ya awamu ya tano nina uhakika hizo fedha zitatumika vizuri"
Hana cent tano..dawa zinashindaNa pesa za kununulia ndege nyingine mbili kubwa aina ya Jet ZZIIIPPOOOO.
Watanzania mzidi kuniombea.
Juzi mlikuwa mnalialia eti kulipa deni kila mwezi bilioni 700 huku makusanyo yakiwa trillion 1.2 mkaanza kuimba serikali haiwezi kujiendesha kwa milioni 500 mara eti ahadi halitekelezeki ...mtaendelea kubweka till la die huku serikali ikizidi kuwaletea maendeleo. Ni sawa na mtu anayependa kuchekea chooni
Mungu wangu kwa mwaka mmoja kakopa trillion 20
Sijui Magufuri anatupeleka wapi na ndo dr. Mpango kaenda kuongeza deni
Wallah..!! yani tumepigwa changa.
Sijui hadi 2020 atakuwa kakopa sh. Ngapi makadilio Trillion 80
Kumalizia vipi ndugu. Hebu weka sawaChina si rafiki mzuri hata kidogo, kwa mkopo huu,ruhusa ya kumalizia wale tembo imetolewa rasmi
Yuko Korea na kasaini mikataba ya mikopo chini ya benki ya exim bank na ADB kwa ajili ya maji taka ya mji wa Dar na mkopo mwingine ni kwa ajili ya umeme wa Mbeya - Kigoma
Ulaghai wa ccm hata shetani anashangaa !Sisi ma-Tanzania ni mataahira! Sasa tuliwafanyia jeuri ya nini hawa jamaa wa MCC? Eti nilisikia mtu anawasifia China kwamba ni marafiki wa kweli hawatoi misaada yenye masharti, sasa huko kwenda kukopa ndo msaada huo? Mamamazetu kabisa!!
Hapo huhitaji data, tunahitaji kutumia ubongo kufikiria na wala siyo kutumia makalio ya maliwato.Habari yako bwana Kobello. Lete data hawa watu waelewe kwamba kama nchi tunajitegemea na wala hilo deni halitakuwa mzigo usiobebeka!!