Waziri Mpango yuko Korea kaenda kukopa Exim bank

Zilete tuongeze vile viwanda elfu 52 vifike hata Laki 2 kwa miaka 3 ccm oyeee
 
Deni la Taifa limeshafikia 67 Trilioni bado wanaendelea kukopa tu! Kukopa huku kunaweza kukasababisha shilingi kushuka kwa kasi kubwa na hivyo kupunguza thamani ya shilingi na matokeo yake ni mfumuko mkubwa wa bei nchini.

Source chanell ten.

Yuko China na kasain mikataba ya mikopo chini ya benki ya exim bank na ADB kwa ajili ya maji taka ya mji wa Dar na mkopo mwingine ni kwa ajili ya umeme wa Mbeya - Kigoma
 
Mungu wangu kwa mwaka mmoja kakopa trillion 20
Sijui Magufuri anatupeleka wapi na ndo dr. Mpango kaenda kuongeza deni
Wallah..!! yani tumepigwa changa.
Sijui hadi 2020 atakuwa kakopa sh. Ngapi makadilio Trillion 80
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni.

Serikali Ya Viwanda
Serikali Hii Itakuwa Inazalisha Nguo Na Kuuza Mitumba Ulaya.
Mtukufu Mfalme Nimemuomba Na Kanipa Ahadi Ya Kujenga Msikiti Na Uwanja.
Amekwenda China Kukopa Ccm Watakuja Kuiba Hizo Pesa Itazameni GSM GROUPS OF COMPANIES

Mambo Ya Nchi Hii Ni Kinyaa Sana!!
 
Back
Top Bottom