Waziri mkuu Ziarani Songea,mji hauna umeme

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,022
1,305
Ni ajabu kwamba kiongozi wa nchi anakuja Songea na robo tatu ya mji hauna umeme.Hii nchi mbombo jilipo!
 
Songea haina umeme siku zote,kwani umeme ni wa mgao mara zote!!
Nadhani ingekuwa unafiki mkubwa kuwasha umeme ati kwa kuwa waziri mkuu amefika.
Ni vema akashuhudia hali halisi
 
liwalo na liwe yupo nyumbi bombi? vp hajasema msemo wake?
 
Zindukeni wananchi na wakaziwa kusini,kubalini mabadiliko!CCM ni janga kubwa kwa maendeleo ya Tanganyika/Tanzania!
 
Back
Top Bottom