.Huyu naona alikuwa anafanya maigizo tu akiwa anapigwa picha. Kama ni usafiri wake wa kawaida, mpiga picha wa video alitoka wapi?
Waziri mkuu wa Holland akirejea nyumbani ndani ya usafiri akitokea ofisini, je wa kwetu anaweza kwenda ofisini na usafiri huu??
Huyu naona alikuwa anafanya maigizo tu akiwa anapigwa picha. Kama ni usafiri wake wa kawaida, mpiga picha wa video alitoka wapi?

wakwetu ni misuti, mibegi, migari mikubwa na kulakula
ndio maana wengine wamekua kama mifuko ya rambo iliyojaa taka, wakifungua midomo harufu, waknyanyua mikono harufu, wakiachia mashuzi harufu... mradi ni shida tu
wao Ni kula, kuvimba na kuachia baraa