Waziri mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi ahukumiwa jela miaka 4

Mr Nyerere - conosco le leggi Italiani credo più di tutti voi messi insieme quindi stai tranquillo so di cosa parlo - samahani kwa kuongea "Kizanaki"
Waitaliano wana msemo wao kuwa "la matematica non è un'opinione" tranlated roughly means Mathematics has nothing to do with the opinion hata 99% watasema 1+1 =11 haina maana kuwa hilo ni jibu sahihi
spero tanto che tu abbia capito cosa voglio dire - ciao

Hahaaa mkuu asante kwakunirudisha kizanakki,
 
hawemuweyi huyo, ni maji marefu sana. atakapokata rufaa atashinda tu, ni bingwa wa kuchagua mawakili bora wa italia yote na kuwalipa vizuri.
 
Ni shocking kwa dunia nje ya Italy. Kwa sababu watu wanataka kuitumia kama mfano as it is. Wao wenyewe wanajua sheria zao zinabyoweza kuwa-manipulated

Kesi ya Amanda Knox ilijaa vituko na hatimae mtu katoka kiulainii.

Berlusconi hatakaa aione jela, na sidhani hata kama itafikia kukutikana na hatia na kutakiwa kulipa fine kwenye mahakama ya mwisho.

Hamna kitu hapo

Ngumu kujua kama Amanda Knox was innocent, but the basis upon which she was convicted was a mis-trial. The evidence against her was far from conclusive. This was not the only case which reflects well on Italy's justice system. Zipo kesi nyingi tuu.

The murder of Pier Paolo Pasolini: Pier Paolo Pasolini - Wikipedia, the free encyclopedia

The Ustica crash: Italy court fines government euro100M in Ustica crash - Yahoo! News

The Bologna railway station bombing: BBC ON THIS DAY | 2 | 1980: Bologna blast leaves dozens dead

The Piazza Fontana atrocity: Piazza Fontana bombing - Wikipedia, the free encyclopedia

The Monster of Florence murders: Monster of Florence - Wikipedia, the free encyclopedia

The murder of Luigi Calabresi: Luigi Calabresi - Wikipedia, the free encyclopedia

The caso Cogne.

Hizi ni kesi za zamani sana but none of them has ever been satisfactorily, convincingly resolved. Hata kesi ya Amanda Knox, kama siyo international media, ingeendelea kuwa mahakamani for years.

Lakini Waitalia wanapenda kesi zisizoisha. They love them because they make them feel like leaning over the edge of a precipice to step back at the last moment. Kama sterling kwenye movie vile.

They make them feel giddiness, anxiety, but also relief. Wakati wa kesi kubwa zinaonyeshwa kwenye TV live. It is a subtle pleasure to them just like watching a movie. Zinakuwa kama fiction vile, but they are really cases. Kesi ya Amanda Knox imesha generate vitabu 11 na filamu moja.
 
Kwa sisi ambao hatuna experience ya judicial system ya Italia, we're shocked kwa wanasayasi kuhukumiwa miaka sita jela na waziri mkuu wao wa zamani miaka minne.

Lakini kwa Watalia wenyewe wanajua hakuna kitachofanyika because of the nature of their criminal system.

Kwa hiyo hakuna dosari kubwa kwa mahakama. They have been doing so for ages.

Italian justice never delivers conclusive, door-slamming certainty. The door is left wide open to take the case to the next level, first to appeal and then to the cassazione.

It's always been that way. There's barely one iconic crime from the post-war years that has persuaded that country that, yes, justice has been done. Never.

Unakumbuka ile kesi ya Amanda Knox?

Ciao EMT!
ulichoongea ni ukweli mtupu na ndio maana ninapata goose bumps mtu anapokuja na kusifia Italian Judicial system kwasababu ninaifahamu from within - tatizo ninaloliona ni kuwa watu wengi wanasoma vichwa vya habari vya magazeti ya Kiingereza ambao hata waandishi wake mara nyingi hawaongei kiitaliano in first hand au wanachukua habari kutoka kwenye magazeti ya mlengo wa kisiasa na kutafsiri - siasa za Italy kama zilivyo za France kama hauishi pale hauwezi kuzifahamu hata kidogo - ni chafu kuliko ninavyoweza kueleza.
Mfumo wa mahakama wa Italy ni nasty kiasi cha kutisha just fikiria kesi za jinai zinadumu wastani wa miaka 10 kabla ya kufikia hukumu ya mwisho na mara nyingi huwa hazifiki hata ngazi ya mwisho kutokana prescrizione za madai zinadumu hata zaidi ya hiyo miaka...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT,
AMANDA KNOX hakuwa innocent at all... she togethet with Rudy Guede surely killed the poor Meredith Kercher and unfortunately the case has produced what we call a judicial chimera kwasababu Guede alipohukumiwa Judge alitamka kuwa anamuhukumu kwa kushirikiana na wengine ktk kumuua Ms. Kercher - sasa swali linakuja hao wengine ni akina nani kama mnasema hawana hatia??? Anyway tunasubiri la Corte di Cassazione ambapo uhakika wa kuhukumiwa kwake ni almost 100%.
Yeye mwenyewe Amanda alikiri kuwa alikuwepo wakati Ms. Kercher anauliwa na alimtaja muuaji kuwa ni Patrice Lumumba(kutoka family ya Patrick Lumumba) lakini lumumba hajawahi kutia mguu ktk ile nyumba na baadaye Amanda akakiri kuwa alimbambikia kwasababu alikuwa anataka kumkinga Guede ambaye alikuwa navuta naye bangi..na hicho hasa ndio kisa cha chuki kati ya Kercher na Knox...long story anyway lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mmmh, sasa kale ka under 18 alikuwa anakafanya nini?
Anyway!

Mkuu hako ka underage kalikuwa kanaliwa tigo, afu hao 'wazee' wanakula sana haya ma-viagra, kwa sababu the only starehe iliyobaki kwao ni ngono TU...
 
Ciao EMT!
ulichoongea ni ukweli mtupu na ndio maana ninapata goose bumps mtu anapokuja na kusifia Italian Judicial system kwasababu ninaifahamu from within - tatizo ninaloliona ni kuwa watu wengi wanasoma vichwa vya habari vya magazeti ya Kiingereza ambao hata waandishi wake mara nyingi hawaongei kiitaliano in first hand au wanachukua habari kutoka kwenye magazeti ya mlengo wa kisiasa na kutafsiri - siasa za Italy kama zilivyo za France kama hauishi pale hauwezi kuzifahamu hata kidogo - ni chafu kuliko ninavyoweza kueleza.
Mfumo wa mahakama wa Italy ni nasty kiasi cha kutisha just fikiria kesi za jinai zinadumu wastani wa miaka 10 kabla ya kufikia hukumu ya mwisho na mara nyingi huwa hazifiki hata ngazi ya mwisho kutokana prescrizione za madai zinadumu hata zaidi ya hiyo miaka...

Hata kesi ya hawa wanasayansi naona kama English media wanapotosha. Wanasayasi hawakutiwa hatiani kwa kushindwa ku-predict tetemeko but for poor risk communication.

The prosecutor made it clear that they were accused of giving out "inexact, incomplete and contradictory information" through their incompetent spoke person which led the media to interpret the information differently/incorrectly, thereby misleading the public.

Kama ingekuwa Tanzania or another commonwealth country, they could probably have been charged with negligent manslaughter.

The lesson to scientists, though, is that if you can't speak for yourself, then you need to operate in secret. It is much safer to keep your mouth shut. lol.

Najaribu ku-imagine kama yule waziri aliyesema Tanzania ni muungano wa Zimbabwe, Pemba na Tanganyika angepigwa mvua ngapi kama Tanzania ingekuwa Italia?
 
Siasa za roma zinatanabaisha kuwa Mr Berlusconi alikuwa kwenye mbio za kuja kushika tena hatamu za chama chake, wale wahafidhina wa siasa za Berlusconi wanaamini ni vita ya kisiasa wakilifananisha tukio la D.S. Khan vs urais Ufaransa.

But he had already announced earlier in the week that he was stepping down as leader of his Freedom Party and will not be offering himself for re-election as prime minister in next year's general election. Seems like he knew what was coming. Kama John Terry vile.
 
Hata kesi ya hawa wanasayansi naona kama English media wanapotosha. Wanasayasi hawakutiwa hatiani kwa kushindwa ku-predict tetemeko but for poor risk communication.

The prosecutor made it clear that they were accused of giving out "inexact, incomplete and contradictory information" through their incompetent spoke person which led the media to interpret the information differently/incorrectly, thereby misleading the public.

Kama ingekuwa Tanzania or another commonwealth country, they could probably have been charged with negligent manslaughter.

The lesson to scientists, though, is that if you can't speak for yourself, then you need to operate in secret. It is much safer to keep your mouth shut. lol.

Najaribu ku-imagine kama yule waziri aliyesema Tanzania ni muungano wa Zimbabwe, Pemba na Tanganyika angepigwa mvua ngapi kama Tanzania ingekuwa Italia?
infact kuna upotoshaji wa hali ya juu- wanasayansi kama ulivyosema hawakuhukumiwa kwa kushindwa kupredict tetemeko la ardhi bali kwa kuwaambia watu kuwa hakutakuwa na tetemeko so laleni bila wasiwasi majumbani mwenu - less than 48hrs later tetemeko likatokea na watu zaidi ya 300 wakapoteza maisha - sasa swali la kujiuliza ni hili kama hauwezi kupredict tetemeko - no one can under the sun so far! - uliwezaje kuwaambia watu msiwe na wasiwasi nothing will happen, some sort of contradiction na hilo ndilo kosa lao japo hukumu ni more symbolic maana watashinda katika rufaa by the way hata hukumu yao ina mgogoro wa kisheria maana lingekuwa ni kosa la jinai kama wangesema kutakuwa na tetemeko na tetemeko lisitokee wanaita procurato allarme(art. 658 del codice di procedura penale)...
 
Whether their conviction is wrong or right there is a possible good outcome.

Hivi karibuni tumeona wanasiasa wakijaribu kukwepa majukumu ya maamuzi yao kwa kujificha nyuma ya wataalam.

Simultaneously, some "experts" try to supplant the role of politicians, by asserting that their "evidence" must outweigh any political judgment.

Now everyone should go back to their jobs.
 
pamoja na kila mtu ku-take responsibility, hii ina athari kwa wanasayansi

wanaweza ficha wanachojua au kukuza tatizo ili wawe salama.

Whether their conviction is wrong or right there is a possible good outcome.

Hivi karibuni tumeona wanasiasa wakijaribu kukwepa majukumu ya maamuzi yao kwa kujificha nyuma ya wataalam.

Simultaneously, some “experts” try to supplant the role of politicians, by asserting that their “evidence” must outweigh any political judgment.

Now everyone should go back to their jobs.
 
Mzee wa hafla za bonga bonga huenda asitumikie kifungo chake kwasababu kifungo kimeahirishwa hadi hapo rufaa yake itakaposiliziwa.

Mfumo wa sheria wa Italy ni dhaifu sana na tayari wamekwishaondoa miaka 3 ya kifungo chake kutokana na sheria iliyopitishwa na bunge la nchi hiyo mwaka 2006.

Sheria hiyo ya msamaha wa serikali (mfano wa msamaha wa raisi Tanzania) inampa Berlusconi nafasi ya kubakia na mwaka kutumukia jela ambapo pia mwaka huo unaweza kuondolewa na paperwork itakayoshughulikiwa ndani ya mwaka au zaidi.

Ni kama tunaangalia filamu ya godfather.
 
Mpaka hapo jamaa kapeta, kitakachobaki ni alama tu kuwa alihukumiwa kifungo jela tu!
 
Back
Top Bottom