Waziri mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi ahukumiwa jela miaka 4

basi haendi kokote.

Watamzimisha yule binti na hatatokea kabisa.

Ila hiyo limitation ya muda ndio imeniacha hoi.
Not that easy,kuna maongezi yalinaswa kwenye simu wakati huyo binti akiongea na babayake,maongezi hayo presecutors ndiyo wanataka kuyatumia kortini...
In the intercepted phone calls, Moroccan-born "ruby" El Mahroug, now 19, is heard saying to her father in fkih-Ben-Salah:

"I know Silvio and now the fact is coming out that I'm a lover of Silvio. He's crazy about me. I've been seeing him for a year now. It's in all the papers. He's told me to pretend I'm crazy."

The conversation will be used by prosecutors as evidence of illegal sexual relations and of the lengths to which Mr Berlusconi and his aides were prepared to go to cover them up.
"He called me yesterday and said I'll give you all the money you want, I'll pay you, I'll cover you in gold but the important thing is that you hide everything and don't tell anyone anything,"
Ruby's call to father in Morocco Intercepted
 
Mimi siishabikii hata kidogo. Na nonavyoona ile kuwahukumu miaka sita tu tayari ni dosari kubwa kwa mahakama hata kama watakutikana bila ya hatia katika mahakama ya rufaa.

Wanataka kuturudisha kule kule kwa Galileo Galilei

Kwa sisi ambao hatuna experience ya judicial system ya Italia, we're shocked kwa wanasayasi kuhukumiwa miaka sita jela na waziri mkuu wao wa zamani miaka minne.

Lakini kwa Watalia wenyewe wanajua hakuna kitachofanyika because of the nature of their criminal system.

Kwa hiyo hakuna dosari kubwa kwa mahakama. They have been doing so for ages.

Italian justice never delivers conclusive, door-slamming certainty. The door is left wide open to take the case to the next level, first to appeal and then to the cassazione.

It's always been that way. There's barely one iconic crime from the post-war years that has persuaded that country that, yes, justice has been done. Never.

Unakumbuka ile kesi ya Amanda Knox?
 
asante, Iddi njema na wewe.

Mie nimefurahi mno.

Unakumbuka na wale wanasayansi wa hali ya hewa walioshindwa kutoa tahadhari ya kutosha ya tetemeko, nao wameswekwa miaka sita sita na faini ya kutosha.
TMA ya hapa wanatudanganya wee lakini tunacheka cheka tu.

eid el hajj njema
 
Na hiyo one year,sheria za Italia zinasema kama ni mtu mwenye umri wa miaka 70 au zaidi,basi hapelekwi jela labda iwe kesi ya terrorism ama mafia.Hii ni kwasababu pia ya kujaa kwa jela.

It has nothing to do with what you mentioned...
 
Na hiyo one year,sheria za Italia zinasema kama ni mtu mwenye umri wa miaka 70 au zaidi,basi hapelekwi jela labda iwe kesi ya terrorism ama mafia.Hii ni kwasababu pia ya kujaa kwa jela.

Haya sasa. It appears then hana hata haja ya kukata rufaa
Anawalipa hiyo 10m Euros fasta and that is it.
Hata akibakia na criminal record, sidhani kama itamwa-effect.
He is 70.
 
You should do justice to yourself!!!! What is the connection between Berlusconi and Mafia??? A second disappointment from you today - this is what Italians refer to as parlare a vanvera or arrampicarsi sugli specchi - watu mnakaa sana JF na mna nia ya kuchangia kila hoja as a result you begin dispensing unwise comments. Mi nafikiri for some of you si vibaya mkikaa mbali na JF kama nilivyofanya mimi kwa miezi 5 na ninawahakikishia you'll come back fresh and wise thence preserving the credibility of JF.
ciao
Mkuu wacha mwenzako aenjoy freedom yake vile anaona inafaa mkuu,endapo havunji kanuni za jamvi hili!

BTW hizo connections za mafia costa nostra, zilikuwepo hizo habari,fuatilia.
An Italian senator has been accused of blackmailing Silvio Berlusconi for more than 40 million euros (£31 million) in return for keeping quiet about the former prime minister's alleged links to the Sicilian mafia.

Prosecutors in Palermo, Sicily, claim that Marcello Dell'Utri extorted the money from Mr Berlusconi over the last decade in exchange for not revealing the "pact" that the billionaire businessman allegedly forged with Cosa Nostra at the start of his political career in the 1990s.
Silvio Berlusconi 'blackmailed by Italian senator over mafia links' - Telegraph
 
nakubaliana na wewe
hata kama hawataenda jela ila ile kuhukumiwa tu

imeacha taharuki katika utabiri na makadirio ya kisayansi

Nje ya Italia watu wameshtushwa, lakini ndani ya Italia ni kitu cha kawaida.
Kama Bongo kuna vitu tunafanya na kuona vya kawaida, lakini nje ya nchi people are shocked.

Come stai comunque?
 
Kwa sisi ambao hatuna experience ya judicial system ya Italia, we're shocked kwa wanasayasi kuhukumiwa miaka sita jela na waziri mkuu wao wa zamani miaka minne.

Lakini kwa Watalia wenyewe wanajua hakuna kitachofanyika because of the nature of their criminal system.

Kwa hiyo hakuna dosari kubwa kwa mahakama. They have been doing so for ages.

Italian justice never delivers conclusive, door-slamming certainty. The door is left wide open to take the case to the next level, first to appeal and then to the cassazione.

It's always been that way. There's barely one iconic crime from the post-war years that has persuaded that country that, yes, justice has been done. Never.

Unakumbuka ile kesi ya Amanda Knox?

Ni shocking kwa dunia nje ya Italy. Kwa sababu watu wanataka kuitumia kama mfano as it is. Wao wenyewe wanajua sheria zao zinabyoweza kuwa-manipulated

Kesi ya Amanda Knox ilijaa vituko na hatimae mtu katoka kiulainii.

Berlusconi hatakaa aione jela, na sidhani hata kama itafikia kukutikana na hatia na kutakiwa kulipa fine kwenye mahakama ya mwisho.

Hamna kitu hapo
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu wacha mwenzako aenjoy freedom yake vile anaona inafaa mkuu,endapo havunji kanuni za jamvi hili!

BTW hizo connections za mafia costa nostra, zilikuwepo hizo habari,fuatilia.

Silvio Berlusconi 'blackmailed by Italian senator over mafia links' - Telegraph

Mr Mushi,
Mr Berlusconi hajawahi kuhukumiwa wala kushtakiwa kwa what you generally call MAFIA or COSA NOSTRA. I know Italian political games may be more than any of you and in these games unfortunately most of the time there is a very thin line (if there is line anyway) which divides politics and judiciary - na ndio maana nimemuuliza Mr. Saanane tangu lini Italian Judiciary system ikawa independent??? Unajua ni mara ngapi European justice chamber imeihukumu Italy kwasababu hiyo???
Prosecutor sio JUDGE, by the way hiyo kesi ya Marcello Dell'Utri bado ipo ipo ktk sperm level not even embryon level i.e. ipo mbele ya Giudice di Indagine Preliminare(GIP) akiona kuna traces za ukweli ktk tuhuma anaipeleka kwa Giudice di Udienza Preliminare(GUP) na kama huyo ataidhinisha baada ya kuona kuna elements za ukweli ktk tuhuma ndio anaipeleka mbele ya jopo la Majaji - so now you know what I mean.
 
Ulikuwa uko kifungoni?maana naona unakurupuka tu,hiyo ni fact.Fuatilia kama huna muda endelea kupumzika kama hukufungiwa.
BBCBreaking: #Berlusconi's four-year prison term reduced by court to one year under Italian law aimed at cutting jail overcrowding http://t.co/0SgvvoTc | News Panel | Keep up to date with the latest news from London and around the world

wakati wewe source yako ni bbc mimi ninaifahamu CODICE DI PROCEDURA PENALE ukitaka sema nikutafsirie ... BBC NI UK we're talking about ITALY...do you know the difference between the 2 Mr MUSHI?????

Tatizo la walio wengi humu ndani ya FORUM ni kufikiri wanafahamu kila kitu -la detenzione domiciliare kama wanavyoita waitaliano- was first introduced dalla legge 47 sull'ordinamento penetenziario mwaka 1975 then modified by articolo 47-ter in 1986 katika vipindi hivyo vyote Italy haikuwa na matatizo ya kujaa wafungwa katika magereza yao, matatizo hayo yameanza baada ya wageni wengi kuanza kuingia Italy hasa kutokea nchi za Ulaya Mashariki na Afrika ya Kaskazini - hii ni kuanzania 2000 to date sasa kama unataka kuzungumza vitu unavyojua tuendelee otherwise...

By the way mimi sikuwa kifungoni ispokuwa utashi wangu huwa unanikataza kuongelea vitu ambavyo sifahamu - mara nyingi mambo yanayozungumziwa ni siasa za Tanzania mimi binafsi sizifahamu zaidi ya kuwa muungaji mkono wa mageuzi - so huwa ninasoma zaidi na sichangii vitu ambavyo sifahamu...
do you get the point????
 
wakati wewe source yako ni bbc mimi ninaifahamu CODICE DI PROCEDURA PENALE ukitaka sema nikutafsirie ... BBC NI UK we're talking about ITALY...do you know the difference between the 2 Mr MUSHI?????
Sasa unataka nikuamini kwasababu wewe ni nani?Mimi nimeweka source,wewe unakuja unasema unafahamu.Source iwe kalokola VII?Acha vituko mkuu.

Mimi nimetizama news,na wamesema hivyo,lakini nikaamuwa nitafute source ambayo unaweza kufuatilia,kama hutaki unaacha.
 
Mr Mushi,
Mr Berlusconi hajawahi kuhukumiwa wala kushtakiwa kwa what you generally call MAFIA or COSA NOSTRA. I know Italian political games may be more than any of you and in these games unfortunately most of the time there is a very thin line (if there is line anyway) which divides politics and judiciary - na ndio maana nimemuuliza Mr. Saanane tangu lini Italian Judiciary system ikawa independent??? Unajua ni mara ngapi European justice chamber imeihukumu Italy kwasababu hiyo???
Prosecutor sio JUDGE, by the way hiyo kesi ya Marcello Dell'Utri bado ipo ipo ktk sperm level not even embryon level i.e. ipo mbele ya Giudice di Indagine Preliminare(GIP) akiona kuna traces za ukweli ktk tuhuma anaipeleka kwa Giudice di Udienza Preliminare(GUP) na kama huyo ataidhinisha baada ya kuona kuna elements za ukweli ktk tuhuma ndio anaipeleka mbele ya jopo la Majaji - so now you know what I mean.
Sijasema aliwahi kuhukumiwa,nimesema alishawahi kuhusishwa,na habari hiyo hapo juu inaonyesha kwamba alikuwa blackmailed,na yeye alikuwa akitoa pesa ili habari hizo zibaki chini ya carpet.Thats it,zaidi ya hapo siwezi kujidai nafahamu kila kitu.
 
Ni shocking kwa dunia nje ya Italy. Kwa sababu watu wanataka kuitumia kama mfano as it is. Wao wenyewe wanajua sheria zao zinabyoweza kuwa-manipulated

Kesi ya Amanda Knox ilijaa vituko na hatimae mtu katoka kiulainii.

Berlusconi hatakaa aione jela, na sidhani hata kama itafikia kukutikana na hatia na kutakiwa kulipa fine kwenye mahakama ya mwisho.

Hamna kitu hapo

Ni kweli dunia inahitaji kupata funzo hili,

Lakini wasiwasi wangu ni kwa kizazi cha Tz na Tz yenyewe kulikubali somo hili mujarabu.

Maana nijuavyo ni Tanzania tu duniani unapoweza kuifanya 50+50 ikawa 5050 na watu wakakukubali bila kiwewe wala kihoro, kikubwa maelewano nao tu
 
Siasa za roma zinatanabaisha kuwa Mr Berlusconi alikuwa kwenye mbio za kuja kushika tena hatamu za chama chake, wale wahafidhina wa siasa za Berlusconi wanaamini ni vita ya kisiasa wakilifananisha tukio la D.S. Khan vs urais Ufaransa.
 
he is 66 i guess.

Na hiyo one year,sheria za Italia zinasema kama ni mtu mwenye umri wa miaka 70 au zaidi,basi hapelekwi jela labda iwe kesi ya terrorism ama mafia.Hii ni kwasababu pia ya kujaa kwa jela.
 
Jiridhishe kabla hujabeza mkuu, alichokisema jamaa hapo ndivyo ilivyo kwa sheria za Utalino
Mr Nyerere - conosco le leggi Italiani credo più di tutti voi messi insieme quindi stai tranquillo so di cosa parlo - samahani kwa kuongea "Kizanaki"
Waitaliano wana msemo wao kuwa "la matematica non è un'opinione" tranlated roughly means Mathematics has nothing to do with the opinion hata 99% watasema 1+1 =11 haina maana kuwa hilo ni jibu sahihi
spero tanto che tu abbia capito cosa voglio dire - ciao
 
Sasa unataka nikuamini kwasababu wewe ni nani?Mimi nimeweka source,wewe unakuja unasema unafahamu.Source iwe kalokola VII?Acha vituko mkuu.

Mimi nimetizama news,na wamesema hivyo,lakini nikaamuwa nitafute source ambayo unaweza kufuatilia,kama hutaki unaacha.

Nimekuwekea source ni CODICE DI PROCEDURA PENALE lol na nimekuwekea hata hiyo sheria imetungwa lini what else Sir???
 
Back
Top Bottom