mbinu za kuwatishia watoto wa vyuo wakigoma wanadhani ita work kwa madaktari ambao hakuna asie na kazi na walio katika sekta umma hawajawahi kuomba kazi.hii siyo tetesi ni kweli, serikali inataka kuajili madaktari na madaktari wa sasa watatakiwa kuomba ajira upya.
Nice move.
Mta tapatapa sana......labda ongeeni na Professor Maji Marefu asiye na kazi au serikali isitise watu kuugua hadi itakapo train wengine baada ya miaka 7.Kuna habari kuwa serikali inatayarisha Tangazo la ajira kwa nafasi za Udaktari na udaktari bingwa haraka iwezekanavyo.
Je, hii inaweza kuwa long term solution ya matatizo ya mgomo wa madaktari.
kwani kuna madaktari ambao hawana kazi hapa nchini?
Hiyo hela itakayotumika kwa ajira mpya kwa nini isitumikew kulipa madai ya waalimu kwanzza?
kwani kuna madaktari ambao hawana kazi hapa nchini?
Hiyo hela itakayotumika kwa ajira mpya kwa nini isitumikew kulipa madai ya waalimu kwanzza?
Ni week chache tu Pinda alikula matapishi yake baada ya kujidai kuwafukuza madaktari ambao hawakurudi kazini, lakini naona appetite yake ya kula matapishi inarudi tena. Kama madaktari hawata-apply itakuwa vipi? Atamwangukia nani?
kazi kweli kweli! hivi mnafikiri kuwa madaktari wamezagaa zagaa mtaani wanatafuta ajira? guys, remember one thing, these are highly qualified proffessionals! tushukuru mungu safari hii kwenye mgomo wao hawana mpango wa kuondoka nchini waende nchi zingine kufanya kazi (eg. Rwanda tu wanapewa 2500$, nyumba na usafiri), safari hii serikali inadeal na vijana wazalendo! secondly, hao madaktari watakaoajiriwa ndio hawapo kwenye mgomo? ndio bado hawajaajiriwa? tehetehtehe! so ignorant you are!Safiii,, hiyo ndiyo dawa,, Ndiyo dawa haswa ya paka mramba tui,, kama hataki panya na wali usimpe
Kuna habari kuwa serikali inatayarisha Tangazo la ajira kwa nafasi za Udaktari na udaktari bingwa haraka iwezekanavyo.
Je, hii inaweza kuwa long term solution ya matatizo ya mgomo wa madaktari.
a very very good question indeed!wataomba upya halafu wataendelea kugoma.halafu wakati zoezi hilo likiendelea huduma ktk hospitali zetu itatolewa na na nani?
NI Jambo la kushangaza kufikiri kuwa unaweza kucheza na madaktari kitoto hivyo, hahaaaah unaweza kucheza na wajinga lakini si wasomi walioelimika,Mkuu kwa kifupi ajira za madaktari wa serikali zinafutwa na kuajiliwa upya, wanasheria watatuelezea kisheria hii imekaaje.
all in all, big up Pinda.
Serikali imeagiza madaktari Cuba na Russia
hao wachina watatibu private hospitals?
Kuna habari kuwa serikali inatayarisha Tangazo la ajira kwa nafasi za Udaktari na udaktari bingwa haraka iwezekanavyo.
Je, hii inaweza kuwa long term solution ya matatizo ya mgomo wa madaktari.