Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Ni TBC news ya Saa 10 alasiri, Waziri mkuu amesema wanasubiri waone kinachoendelea na wamejiandaa vema kukabiliana na hali itakayotokea.

Wanasema misimamo kama serikali na baadae wanakaa tena kufikia muafaka.

Anayetesa wananchi kwa sasa ni Waziri na Afya na naibu wake, Nadhani wangekubali kuwa wao ndiyo kero namba 1 wakajishusha kuokoa taifa.

Acha tuone kama wanakuja Doctors kutoka China au la
 
Wakigoma walimu serikali itaagiza walimu Cuba na Russia? mmh nadhani unatania tu maana haingii akilini ukaagiza mamia/maelfu ya madaktari/manesi kutoka nchi za nje...!

Labda kweli JK na baraza lake la Mawaziri Kama Chanda na Pete . Nilishasema hapa JF Jakaya Mrisho Kikwete na CCM they are not serious and some of you thought it was a fools day joke? Haiingii katika akili for grown ups to tangle over an issue you can solve by just a click. Politically what will Juha Kalulu miss if he fires the duo and pick his other concubines to those posts. Kichaa sio lazima atembee uchi! Let us start a huge occupy Magogoni nadhani this will toa Nyoka pangoni kwani akina Said Mwema na inteligencia yake they come crawling huku Mwamunyange akisogeza vifaru from WW2 version. The music goes on hakuna kulala!
 
Pinda uwezo wa kufikiri ni mdogo sana anazidiwa hata na uwezo wa kufikilia wa mtoto wa siku moja aliyezaliwa.
 
Ni TBC news ya Saa 10 alasiri, Waziri mkuu amesema wanasubiri waone kinachoendelea na wamejiandaa vema kukabiliana na hali itakayotokea.
Wanasema misimamo kama serikali na baadae wanakaa tena kufikia muafaka. Anayetesa wananchi kwa sasa ni Waziri na Afya na naibu wake, Nadhani wangekubali kuwa wao ndiyo kero namba 1 wakajishusha kuokoa taifa.
Acha tuone kama wanakuja Doctors kutoka China au la

Hapa ndio pananipa shida, Hivi unahitaji elimu ya Chuo kikuu kujua ni nini kitaendelea? Then wakishaona itakuwaje? Hizo roho za marehemu watazidusha?
 
Serikali imeagiza madaktari Cuba na Russia

Wataongea na maskini wagonjwa kwa lugha gani ili waelewane?
Wanataka kuleta story za aliyekuwa waziri wa maji kipindi fulani Mhe. Pius Ng'wandu aliyewahi kusema atakabiliana na uhaba wa maji DSM kwa kusafisha maji ya bahari kama uarabuni wanavyofanya!!!
 
binafsi naona madoctas wamejaa misifa ya kijinga vichwani mwao. sababu inayowafanya wagome ni kwa ajili ya lucy na haji tu? this is crazy. wakijiuzulu hawa wawili then what? mimi nashangaa wameacha kushughulikia mambo ya msingi sasa wanahangaika ni vitu vya kipuuzi. interlectual yao iko wapo. mbona naona pumba tu kwenye vichwa vyao.
 
Pinda unajihaibisha bwana maneno gani ya shombo hayo??? Kumbuka kauli yako iliyopita ndio ilichochea makali ya mgomo,nakushauri hili swala kaa pembeni kabisa!!
 
Wamejiandaa vya kutosha kwa kusambaza vibaraka wao kutoa proganda kuwa hakuna mgomo! Kuagiza madaktari toka nje ndio litakuwa suluhisho? kwali baraza la mawaziri la sasa hv! Pinda hili suala la kusema tunangojea tuone.....ubabe wenu utawatokea puani..kama mlihaidi timizeni.
 
Wazazi ,raisi mcheza ngoma,waziri mkuu mganga wakieyeji, spika house girl,mawaziri virukanjia, wazazi mpaka ifike 2015 nchi itakuwa nyang'a nyang'a................pinda kajiandaa kwa lipi kama si balaa tu anatafuta.........huyu mzee wa kulia lia
 
binafsi naona madoctas wamejaa misifa ya kijinga vichwani mwao. sababu inayowafanya wagome ni kwa ajili ya lucy na haji tu? this is crazy. wakijiuzulu hawa wawili then what? mimi nashangaa wameacha kushughulikia mambo ya msingi sasa wanahangaika ni vitu vya kipuuzi. interlectual yao iko wapo. mbona naona pumba tu kwenye vichwa vyao.

mjinga mwingine huyu!
 
Pinda ni mtu wa ajabu sana. Walikaa na Madaktari wakafikia maazimio mpaka jana anasema wanayafanyia kazi wapi?? kwenye giza? hata yapo yanayofanyiwa kazi nyie kina Pinda hamuwezi kuwapa Update Madaktari? Sikutegemea Mwanasheria/Mkatoliki safi kama Pinda apige domo tu kama Mwehu! Kwa hili Serikali hamna pa kukimbilia lazima mtimize mtake msitake Dr. Mponda na Dr. Nkya lazima wataondoshwa tu ofisini tena kwa aibu. Na hili limeanza hapo wizara ya afya litahamia pale karibu na Ikulu (Wizara ya Elimu kwa Dokta. Kalambwa) huyu naye ni mzigo wa taifa hata kuongea hawezi hata huko Chuo Kikuu sijui alikuwa anafundishaje. Kuna vijana mmewaajiri toka Vyuo vikuu wamepinda mbaya, hawana nidhamu ya uwoga! wamesoma kwa Mkopo halafu hamtaki kuwalipa mshahara? Imagine huyu Dokta Kalambwa (Kawambwa) hata kuunga Sentensi ya Kiswahili ni ishu sijui Kiingereza inakuaje au ndo tuseme Course alizokuwa anafundisha COET-UDSM ni number tu anyway!
 
Revolution is on progress...

..wataalamu hawawezi kuwa watumwa wa wanasiasa period.
 
Back
Top Bottom