Waziri mkuu Pinda unakumbuka hili siku ulipokutana na madaktari CPL MNH?

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Nimeamua kuwasimamisha kazi Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali, ili kuweza kupisha uchunguzi maana hizi tuhuma zinafedhehesha taifa." "Kwa upande wa Waziri na Naibu Waziri wa Afya, nimeshapeleka ushauri kwa Rais kutokana na yeye kuwa mwenye dhamana, siwezi kuliongelea hili hapa ila yule aliyewateua, atafanya maamuzi, najua kitakachofuata mnakijua,"

Kumbe kama Waziri Mkuu alisea hayo ... tishio la nini tena hadi kumshinikiza Rais? Madaktari wangevuta subra waone utekelezaji kuliko kumlazimisha mkulu. Si busara kwa wanayoyafanya bhana!
 
Kwisha habari Pinda. Madokta wakigoma dunia nzima itawaunga mkono maana ninyi wenyewe mlinena.

Shida ninayoipata mimi ni watu 2 (Lucy na Hadji) kukataa kuwajibika then mgomo utokee hiyo J5 halafu watu wanakufa while you could have just stepped down na kunawa mikono
 
Pengne hakuwa hata na note book, aliongea tuu kuwafurahisha madokta! Si naye alitumwa kuweka mambo sawa?
 
Kwa wale wanaotaka kujua ni kwanini Raisi Kikwete huwa anapenda sana kusafiri basi jibu ni kua huwa huyu jamaa anakwepa sana majukumu, angalia safari zake zote huwa nyuma kaacha Sooo! Tusubiri hiyo jumatano kama Madokta wakigoma jamaa lazima atakwea PIPA tusubiri labda jamaa wasigome!
 
namsikitikia sana PM Pinda!ila msimamo wa madr. ni jambo commendable coz of the type of gvt and leaders we have...negligent ,irresponsible,wana simple answers to difficult questions,wengi wao wako selfish-kimaslahi zaidi.bila shinikizo (either kutoka nje au ndani)nchi hii mambo hayaendi.lets wait and see!!
 
Kumbe kama Waziri Mkuu alisea hayo ... tishio la nini tena hadi kumshinikiza Rais? Madaktari wangevuta subra waone utekelezaji kuliko kumlazimisha mkulu. Si busara kwa wanayoyafanya bhana!

It is naive to be a gentleman when you are dealing with crooks!!
 
Nimeamua kuwasimamisha kazi Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali, ili kuweza kupisha uchunguzi maana hizi tuhuma zinafedhehesha taifa." "Kwa upande wa Waziri na Naibu Waziri wa Afya, nimeshapeleka ushauri kwa Rais kutokana na yeye kuwa mwenye dhamana, siwezi kuliongelea hili hapa ila yule aliyewateua, atafanya maamuzi, najua kitakachofuata mnakijua,"

mimi what i don't understand ni how come mponda na nkya wanaendelea kuwepo ofisini ili hali walisimamishwa? au ni uzushi kuwa wapo kumbe hawapo! hili nahitaji msaada wa kujua zaidi!!!!!!
 
Ukweli daima,Unajua kama mtu huna sema sina!Siwezi sema siwezi!Sio kauli zapisha njia nipite!Ukitoa ahadi tekeleza.Kama watu umewapa kiongozi awaongeze wamekaa nae wakaona hawafai wanasema mtoe atufai unamuacha!Maana yake nini?Ubabe?Patatosha kweli hapo?Atampa nani maelekezo afuate?Mi nadhani waziri na naibu hawakutakiwa kusubiri rais aongee,wangekuwa wastarabu tu wakastep down sio mpaka tena watu wafe!DAMU ZILE ZITALIPWA TU!DUNIANI AU AHERA,Tumuogope Mungu.Sote tunaimani!
 
Ivi Mponda na Nkya ni bora zaidi kuliko madakatari JK ebu iga mfano wa SATA statements kinzana za mawaziri wake tuu kafanya reshuffle ya Cabinet
 
Back
Top Bottom