Waziri Mkuu Pinda na walokole

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Walokole wamehoji kama kuvaa suti na kuendesha mashangingi kwa Watz haulingani na umasikini wetu ni bora Waziri Mkuu aonyeshe mfano kwa kutumia bajaji badala ya mchuma wa bei mbaya.
 
Walokole nao wamepinda tu. Au kwa sababu na wao kuvaa suti ndio zao? Nini Bajaji, hata ukiwashauri watumie Pajero au hata Rav 4 watakuona chizi.
 
off course i even look at the PM funny for asking people not to do what they feel to do..we are spending our money ,clean money kama wao wanategemea kuvaa suti kwa hela za serikali kivyao.
 
Walokole wamehoji kama kuvaa suti na kuendesha mashangingi kwa Watz haulingani na umasikini wetu ni bora Waziri Mkuu aonyeshe mfano kwa kutumia bajaji badala ya mchuma wa bei mbaya.
Mwiba eleza vizuri nini unataka kusema kwenye mada hii maana sijaielewa na sijui wanaoichangia kama wanaielewa.
Ebu iwekeni sawa basi na mimi niielewe.
 
Walokole nao wamepinda tu. Au kwa sababu na wao kuvaa suti ndio zao? Nini Bajaji, hata ukiwashauri watumie Pajero au hata Rav 4 watakuona chizi.

Husomeki ndugu yangu, hujasema kwa nini wakuone chizi, au mwenyewe unajisikia na kujiona chizi ukiwa mbele yao! Fafanua pls!
 
Walokole wamehoji kama kuvaa suti na kuendesha mashangingi kwa Watz haulingani na umasikini wetu ni bora Waziri Mkuu aonyeshe mfano kwa kutumia bajaji badala ya mchuma wa bei mbaya.

JF jamani tunaelekea wapi???
We Mwiba hii habari haina source au wewe ndio mlokole mwenyewe???

Hapa sio pahala pa kuweka mizaha kama hiyo usitake kuwafanya walokole waonekane mambumbumbu wakati sio kweli.

Habari lazima iwe na chanzo cha kuaminika. Unajaza tu mithread isiyo na maana hapa.
 
Mwiba, Sijakusoma hapa unamanisha nini?? Unasema kuwa Walokole wafanya nini au ulitaka kusema kuwa Walokole wengi huwa wanapendelea kuvaa suti
 
Husomeki ndugu yangu, hujasema kwa nini wakuone chizi, au mwenyewe unajisikia na kujiona chizi ukiwa mbele yao! Fafanua pls!

Namaanisha kwa jinsi walivyozoea kutanua na mashangingi, ukiwaambia wayaache halafu watumie Rav 4 instead, watakuona wewe chizi tu, una wivu wa kike.
 
Back
Top Bottom