Waziri Mkuu Pinda kalidanganya bunge tena

Huyo ni mjinga sana anahalalisha rushwa kwa kutetea posho eti anajukumu la kugawa pesa kwa wapiga kura jukumu hilo kapewa na nani huyo zuzu kapinda sana kama jina lake

Pinda hapindishi kitu ila ni copy and paste, anachoambiwa kusema ndicho anachokisema bungeni. Cha msingi zaidi anajitahidi kulinda sana cheo chake asionekane anatolea kauli hoja kinyume na aliyemweka madarakani.

Huu ni utumwa babu kubwa, hakumbuki kiongozi wa serikali wa kiwango chake ni kioo cha serikali kwa wananchi?
 
Back
Top Bottom