Waziri Mkuu Mwanamke Afunga Ndoa na Mwanamke Mwenzie

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,041
4684078.jpg

Waziri mkuu wa Iceland, bi Johanna Sigurdardottir

Tuesday, June 29, 2010

Baada ya bunge la Iceland kuipitisha sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana, waziri mkuu wa Iceland ambaye ni mwanamke amefunga ndoa na mwanamke mwenzake.

Waziri mkuu wa Iceland, bi Johanna Sigurdardottir amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi ambaye pia ni mwanamke.

Siku chache baada ya bunge la Iceland kupitisha sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana, bi Johanna amefunga ndoa na mpenzi wake Jonina Leosdottir.

Bi Johanna amekuwa akiishi na Jonina kwa muda mrefu na walifunga ndoa juzi jumapili.

Sheria ya kuruhusu wanaume kuoa wanaume wenzao na wanawake kuoa wanawake wenzao ilipitishwa juni 11 mwaka huu bila ya upingamizi wowote.

Bi Johanna mwenye umri wa miaka 66 alichaguliwa kuwa waziri mkuu wa Iceland mwaka jana baada ya migomo iliyosababishwa na kutetereka kwa uchumi kupelekea serikali iliyokuwepo kuondolewa madarakani.

Bi Johanna ndiye waziri mkuu wa kwanza barani ulaya kujitangaza wazi kuwa yeye ni msagaji. Ndoa yake inaonekana itakuwa ni changamoto kwa jumuiya zinazounga mkono ndoa za jinsia moja.

Chanzo: NIFAHAMISHE

Ama kweli Wazungu ni Mashetani haya jamani mambo ya kioja hicho ni Uchafu tu.
</td></tr></tbody></table>
 
Hii issue ya usagaji inataka kugeuzwa kama issue ya weusi walivyokuwa wanatafuta haki zao in early to mid 20th century. :mad:Pathetic!!!
 
How is copulation done? Using dildo? Hawa wenzetu dhambi hii hawajaanza leo, imekuwa kama kawaida kwao ndio maana wanaweka kwenye sheria zao. Siku za mwisho zimeaanza, kwani kisayansi jua limebakiza nusu ya uwepo wake, hivyo tuko kwenye ngwe ya mwisho, na muda uliobaki ni miaka bilioni 5 (Google 'the Sun life span'), sasa fikiria mpaka kufika huko hali itakuwaje?
 
Lamba lamba
 
kafuata hisia zake jamn:twitch::twitch:

Right?

Waziri mkuu wala hajawahi kunifuata na kuniuliza kwa nini napenda wanawake na siwataki wanaume wenzangu, na mimi siwezi kuuliza kwa nini anapenda wanawake wenzake na hapendi wanaume.Simjui kihivyo ati.

Haya mambo ya judgement hata huyo Yesu kwa wale waamini aliwaambia asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe, not saying kwamba hii ni dhambi exactly.

I mean I am not even Icelandic an I cannot even use the excuse that she is my PM, although even in that case it could be argued kwamba this is her private life. Mnamjua maisha yake yameendaje mpaka ajkawa hivyo?

Let the old girl lead her life the way she chooses, as long as hajakuingilia kwenye 18 zako.
 
Maria roza

Umenistajabisha kusema kwamba kafwata hisia yake , unajuwa kwamba hisia inaweza kuchukuwa pahali amvbapo akili yako haiikubali na ujuwe kila, unapo fwata moyo unapotea kwani moyo inatamani mengi kuna mengine yatakutatiza:frusty:
 
Right?

... Mnamjua maisha yake yameendaje mpaka ajkawa hivyo?

Let the old girl lead her life the way she chooses, as long as hajakuingilia kwenye 18 zako.
Akiachwa kila mtu afanye anachotaka dunia haitakalika kwa maasi.
 
mbona tunasikia wanaume wa bongo tena wengine viongozi mpaka wana nyumba ndogo za wanaume wenzao na wengine wao wenyewe ndio hizo nyumba ndogo? muache kuwashambulia wanawake wa TZ, wote tunakubali tatizo la kuhalalisha jinsia moja ni laaana na linahitaji ufumbuzi tunachokataa ni watu kunyooshea wenzao vidole.
 
Right?

Waziri mkuu wala hajawahi kunifuata na kuniuliza kwa nini napenda wanawake na siwataki wanaume wenzangu, na mimi siwezi kuuliza kwa nini anapenda wanawake wenzake na hapendi wanaume.Simjui kihivyo ati.

Haya mambo ya judgement hata huyo Yesu kwa wale waamini aliwaambia asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe, not saying kwamba hii ni dhambi exactly.

I mean I am not even Icelandic an I cannot even use the excuse that she is my PM, although even in that case it could be argued kwamba this is her private life. Mnamjua maisha yake yameendaje mpaka ajkawa hivyo?

Let the old girl lead her life the way she chooses, as long as hajakuingilia kwenye 18 zako.

Judgement gani kiranga...Sina hakika kama usemayo yanatoka moyoni na siamini kama uko serious ..
Kwa hiyo wewe unaona alichofanya ni sawa????????????????????????:roll:
 
Mlinzi wa haki ya maumbile ni sisi wanadamu wenyeye. Hivyo asipolaaniwa kwa kunyooshewa kidole mwenda kinyume na asili (maumbele) tutavuna ya sodoma na gomora mda sii mrefu. Tutahifadhi vipi kizazi na haki ya watoto wetu ikiwa tutaruhusu matendo ya usiri (giza) kuwa haki katika ulimwengu wa nuru?

Na kama itakuwa ya kwamba binadamu anatamani kutenda atakalo bila kuingiliwa basi turudi kujiuliza magereza, mapolisi, jeshi na zana zake ni za nini katika sayari yetu? Ukinyume na maumbile kamwe kwa watu ambao dhamira zao hazijafa hawatauruhusu na unabaki kuwa ni ushetwani!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom