Waziri Mkuu mstaafu: Mwenye macho haambiwi tazama.

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
Kama ulikuwa na 3 wakati Ule EPA inatokea, haukufanya lolote kuzuia. Rushwa ilitawala kila kona, na Boss wako akajimilikisha mgodi wa kiwira, je haukujua? Mh Waziri mkuu, sifa za kuingia Ikulu unazo, lakini your past inakatisha tamaa. Leo hii unalalamika rushwa, baada maji kufika shingoni, Kwani kukaa kimya kungekugarimu kiasi gani?
Nashindwa kutamka moja kwa moja, lakini jua limezama. Kuna mengi unaweza kufanya kusaidia watanzania, lakini Ikulu kwako ni msamiati
 
Sumaye na Lowassa hawana sifa za kuwa rais! wana tamaa za madaraka! kipindi cha sumaye tulishuhudia wakiuziana nyumba za serikali,ufisadi wa kutisha kama epa,meremeta,tangold,mikataba hovyo ya madini,polisi kuua raia na mambo ya hivyo mengi sana. Huyu Lowasa alisaidia kampuni hewa ya richmond kushinda zabuni kwa tamaa yake ya kujitarisha hatimae jk akaridhia apigwe chini.
 
Kuna epa
kuna rada na vijisenti
kuna alex stewart na audit ya dhahabu
kuna mkono and company kulipwa mabilion kwa kesi za banki kuu na nyengine za serikali
kuna ndege ya rais
kuna kuuzwa nbc kwa bei poaa
kuna mashamba ya morogoro
kuna na hio kiwira ya bozi wake
kuna mauaji ya mwembe chai
kuna mauaji ya pemba
na mengi sanaaa yanahitaji majibu ambayo nadhani huna
sumaye pumzika ule pensheni yako kwa raha
urais ni mkubwa kwako
mkapa alikubeba ili asipate upinzani , alijua wewe huna ubavu wa kumpinga chochote
hivyo kuwa waziri mkuu sio licence ya kuingia ikulu
waziri mkuu tanzania ni sawa na waziri mwengine wowote
unateuliwa na rais na hujachaguliwa na wananchi
hivyo wacha tamaa pumzika
 
Mheshimiwa Sumaye!! kama uko mwadirifu kiasi hicho! ulishindwa nini kuzuiya sheria ya Takrima ilhali ulikuwa kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni? don't you see your political manouvre is making you look fool before us?!
 
sumayi kelele za nini uliona, ulisikia na sasa inakutokea lakini hukukemea leo hii inakuuma ama kweli. ni bora kapumzike tu
 
Walewale kasoro jina,waa che ujinga wao na ku2fanya watanzani wazembe na wajinga wa kupindukia,wa2wamebadilika ckuizi na sababu ambazo walizianzisha ccm ndizo zitakazo watoa madalakani,kama elimu bora,vawala bora,sera nzuri,.
 
Back
Top Bottom