juma123, ll.b yangu ni ya udsm, nina lower second and the gate is open for ll.m lakini pia kama ilivyo medicine kwangu, ll.m pia sio dili. Hivi kumbe vyuo vingine thesis unaandikiwa?, mimi thesis yangu niliandika mwenyewe, supervisor wangu ni prof. Palamagamba kabudi!.
Serikalini i got fired!, why, na ni thesis ya nini sio issue za mada husika!, naombeni sasa tuendeleeni na mada!.
thesis ulitumia mika mingapi kumaliza???? Nadhani ukweli unaujua ndani ya moyo wako na mungu of what exactly transpired, back to mada mishahara ya watumishi wa umma lazima iwe rationalised kwanini mshahara wa tcra, bot, tra, sumatra, ewura, wabunge, nssr etc iwe tofauti kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiivo, and yet kodi ni ya watanzania wote