Waziri Mkuu John Magufuli, mbona nchi ingenyooka hii!

Lowassa na Magufuli wote wanafaa kuwa PM. Katka hilo jopo la magamba ni hao tu ambao angalau wana uwezo wa kufanya kazi. Wengine wengi vimeo.
 
Ni ngumu sana maana hauwezi kua na msaidizi anaekuzidi uwezo.HII NCHI INAITAJI MTU KAMA MAGUFULI AU MWANDI NDIO TUNYOOKE.
 
Mkuu,
1. Kikwete hata angepewa Edward Moringe Sokoine (RIP), the best PM we have ever had, kuwa PM wake hakuna lolote la maana ambalo lingetokea kwa sababu presidaa mwenyewe ndo tatizo.
2. Kuweka mtu mchapa kazi hapo ita-complicate mambo, tunataka 2015 ikifika serikali iwe imeshaparaganyika kwa hiyo kazi ya kui-vote out iwe rahisi kama kumsukuma mlevi.
Naomba ndoto yako isitimie kabisa.
 
EL angeendelea kuwa Waziri Mkuu angekuwa kashampindua Raisi wake jamaa alikuwa hataki Vilaza..
Mi napendekeza kama JK atavunja baraza la Mawaziri basi aombe wahisani wa Ulaya watukopeshe wazungu wachache waje kuchukua uPM,Nishati,Fedha,Elimu,Afya,Miundombinu na Mawasiliano..coz miaka 50 naw hakuna jipya tola kwa WaTZ.. Ni mtazamo tu msijenge chuki..
 
Hivi wale samaki wa magufuli wali cost kiasi gani kuwahifadhi kwenye majokofu ya mmiliki wa vick fish? hivi mhe kwanini hakutumia majokofu ya kwenye meli akaamua kumpatia ulaji mdosi mfanya biashara? kweli ana maamuzi magumu lakini uamuzi wake uliohusu samaki maarufu kama samaki wa magufuli ulinifanya nimfikirie mara mbili ila naamini aliteleza na akipatiwa nafasi hataweza kurudia makosa ya kiufundi kama hayo.

I never expected a poor analysis of yours - He played his part but commercial court failed him! Do you how much do we lose for aquatic vandalism? My brother, this is an area we can tape the potentials and help our budget to finance internally. He played his part I guess the court system has a weakness. For Samaki wa Magufuri ni swala la kisheria and wanasheria wangeweza kutueleza njia mzuri za kufanya, kukabiliana na case kama zile katika kuzimaliza kwa muda mfupi na wenye tija kwa taifa.
 
wewe mhandishi ukome kumfananìsha Kikwete na Arsene Wenger.Wenger anajua kuendesha timu na ni mchumi wa ukweli na ana uchungu na rasilimali za The Gunner.
Umeishaniboa,sema na hata Pinda ni mwanasheria wenzangu wenye akili sana,sema baba RIZ NDIO JANGA LA TAIFA.
Kikwete kama anataka avue gamba yeye na amuachi hii nchi Slaa(Phd) mtanyooka wote pamoja na jairo wenu.
 
Back
Top Bottom