Waziri Mkuu anapotangaza Pombe

tuache unazi wa ajabu,jk mbona alivaa t shirt ya taifa stars yenye nembo ya serengati?hiyo si jezi jamani?mbona tunavaa za chelsea haiwi nongwa?
 
attachment.php


One minute I admire kuwa yuko shambani kwake na anatonyesha mfano

Next minute naangalia kwa makini kumbe kavaa nguo ya kutangaza Pombe

Makes you wonder hii vita ya madiwani dhidi ya utititri wa unregulated Bars mitaani kwetu itakuwa ngumu sana. Huu si mfano mzuri kwa watoto wetu. Its ok watu wanywe lakini pia PM lazima naye ajue madhara makubwa ambayo pombe inaleta kwenye jamii.

Why not wear T SHIRT ya JWTZ au something promoting Kilimo kwanza?

tazama picha hii hapa:

MICHUZI

Mbona hujasema hiyo pombe inachangia kiasi gani katika pato la taifa,ambalo wewe kama si nduguyo ni wadau? Pia hujatueleza hiyo pombe inachañgia kiasi gani katika utoaji wa ajira? Nikushauri kitu kimoja,"ushikapo shilingi angalia pande zote"
 
inaweza kuwa pinda anaizinikia tusker......ndomana kaivaaa...
inawezwkana labda aliendaga kwenyo promo ya tusker lager akapewa tashirt
 
Back
Top Bottom