DMussa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 1,310
- 296
sioni kama anafanya chochote cha kumsaidia mkulima wa tanzania. only nyerere and sokoine succeded, the rest ulaji mtupu.
Sifa za marehemu hizo weye....
sioni kama anafanya chochote cha kumsaidia mkulima wa tanzania. only nyerere and sokoine succeded, the rest ulaji mtupu.
One minute I admire kuwa yuko shambani kwake na anatonyesha mfano
Next minute naangalia kwa makini kumbe kavaa nguo ya kutangaza Pombe
Makes you wonder hii vita ya madiwani dhidi ya utititri wa unregulated Bars mitaani kwetu itakuwa ngumu sana. Huu si mfano mzuri kwa watoto wetu. Its ok watu wanywe lakini pia PM lazima naye ajue madhara makubwa ambayo pombe inaleta kwenye jamii.
Why not wear T SHIRT ya JWTZ au something promoting Kilimo kwanza?
tazama picha hii hapa:
MICHUZI
Fyeka msitu,katakata miti-kilimo kwanza.naona yupo busy hapo shambani, mtoto wa mkulima na serikalini ng'oa magugu pia.
One minute I admire kuwa yuko shambani kwake na anatonyesha mfano
Next minute naangalia kwa makini kumbe kavaa nguo ya kutangaza Pombe
Makes you wonder hii vita ya madiwani dhidi ya utititri wa unregulated Bars mitaani kwetu itakuwa ngumu sana. Huu si mfano mzuri kwa watoto wetu. Its ok watu wanywe lakini pia PM lazima naye ajue madhara makubwa ambayo pombe inaleta kwenye jamii.
Why not wear T SHIRT ya JWTZ au something promoting Kilimo kwanza?
tazama picha hii hapa:
MICHUZI[
Pinda anajulikana kwa kutokujali anchovaa kuanzia rangi na sasa kilichoandikwa kwenye T-shirt. Kwa hili la mavazi asamehewe.
kumbe tatizo lako ni hili!!! poor you!!Kofia gani?