Waziri Mkuu anapolindwa na walinzi wamejifunika nyuso inaashiria nini?

Kwa kifupi tu ni kuwa washiriki wa Ben ALi wa Tunisia waache uroho wa madaraka kazi ya kutawala imewashinda waachie ngazi na kuruhusu viongozi wapya kuiongoza nchi hiyo...................................vinginevyo wasubiri maumivu makali tu..............................................
 
Mambo ya kijeshi na ulinzi tuwaachie wataalamu wake maana kuna sababu zao za msingi! Isije ikawa kama ile uliyowashambulia askari wa Zenj.
 
hapo kabanwa haja ndogo waandamanji mtaani kama kawaida jijini Tunis
 
Back
Top Bottom