Hivi kati ya huyu na yule wa kwetu nani ni mtoto wa mkulima???:mmph:
E bana, kile kimchongo nimekiona recently nikashangaa lakini nikadhani labda ni cha zamani, kumbe ni kinjia kipya? Kinatoka kwenye tarmac ya ndege kinakuja mpaka Nyerere Road upande wa BP gas station? Mpaka njia wanataka wajengewe ya kwao?sasa hivi dar es salaam airport wameweka mpaka njia ambayo ni separate kutokea VIP mpaka Nyerere rd. Ubaguzi na dharau za hali ya juu ....sijui kama Mungu atawabariki!
Kwa hela ya nani?
Huyu hafit kuitwa mtoto wa Mkulima kwani he's an old Etonian born into priviledge and multi billionaire from Aristocratic family..kama kawaida ya watawala wa UK lakini.
Hapa waziri mkuu yuko departure lounge ya KAWAIDA na sio VIP na mkewe wakisubiri kwenda Spain for holiday. Anatumia pesa zake binafsi, na anatumia budget airline ambayo haina Business wala first class
Hapa washafika huko Spain na hakuna maduka kufungwa au watu kuzuiwa kufanya kazi zao eti kwa sababu kiongozi wa nchi jirani kaja bas mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa,sijui mpage gani shughuli zote zinasimama
Badala ya kuwa na wapambe wa kumtolea pesa...jamaa anatumia cadi yake kutoa pesa kama watu wengine na ifact inasemekana ALIFUNGA foleni
If only WATAWALA wetu wangekuwa kama huyu. Kama kuna mtu anayo picha ya MTAWALA wetu hata mmoja ambaye anafanya mambo ya kawaida kama sie watu wakawaida ailete hapa. Saa zingine utaambiwa eti ohhh sababu za kiusalama. Hivi kwenye ukishakuwa MAN OF THE PEOPLE unataka ulizni wa nini?
Dont be fooled. We all know exactly what David Cameron is... Anazuga tuu hapo.. For all those weak hearts out there... Ukweli ni kwamba he is just another snob.