Waziri mkuu ana kwa ana na madaktari mhimbili leo na kesho

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Waziri mkuu mizengo pinda leo amekutana na madaktari bingwa ktk hospitali ya mhimbili na kesho anakutana na madaktari na wadau wote wa afya wanaohusika katika mgogoro unaoendelea hivi sasa.lengo ni kutafuta ufumbuzi wa namna ya kumaliza tatizo hilo.

My take;wayamalize,tunakwisha.

source:usiku wa habari Tbc saa4 nait.
 
Back
Top Bottom