Waziri mkuu akaangwa bungeni

simon james

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
283
140
Mbunge wa Mkanyageni Mohamed Mnyaa (CUF)amemtuhumu Waziri mkuu kuwa ofisiyake ndiyo kikwazo katika swala la muungano, ametoa rai kuwa fedha za EPA zigawanywe sawa Zanzibari. Amemkumbusha pia ahadi zake za uongo alizo waahidi wananchi wake na mwisho ameonesha kuwa hanaimani kuwa mpaka 2015 tutakuwa na katiba mpya. Hotuba ya makadirio ya ofisi ya waziri mkuu ipo kwenye hatihati ya kutokupitishwa kutokana na wabunge wengi kukataa kuiunga mkono bajeti yake
 
watatoa mapungufu ya bajeti kwa 100% na kuunga mkono kwa 100%. kwani huwajui?
 
Back
Top Bottom