WAZIRI MGIMWA ameanza kushindwa?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Alipoapishwa na kusogezewa kipaza sauti, Waziri wa Fedha Dr. Mgimwa alijinasibu kulinda thamani ya shilingi ya Tanzania na kudhibiti mfumuko wa bei. Yapata mwezi tangu kuapishwa kwake. Wakati wa kuapishwa,thamani ya dola ilikuwa ni shilingi za ki-Tanzania 1490.

Sasa(leo) Exchange rate ni hii:

  • 1 USD = 1585.50 TZS
  • 1 EUR = 1979.4413 TZS
  • 1 GBP = 2445.0232 TZS
  • 1 ZAR = 189.2569 TZS

Hili la thamani ya shilingi tu hivi,la mfumuko wa bei je?
 
Mkuu hii habari yako mbona imekaa kimajungu majungu, Mh. Mgimwa aliapishwa Jumatatu tarehe 07/05/2012 siku hiyo exchange rate ilikuwa ni buying 1,552 na selling 1,583. kwa sasa exchange rates ipo 1,556 na 1,588 (Source BOT). Kwa haraka haraka waweza sema shilingi imekuwa stable. Sasa sijui ulikuwa wamaanisha nini kwa upotoshaji huu, jipange

155,632.82 158,809.00
 
One month kuwe na effect of change....labda mbinguni..bila kuwa na mikakati, jamani...tumezidi kulalamika,,,huu ni ujinga.
 
Alipoapishwa na kusogezewa kipaza sauti, Waziri wa Fedha Dr. Mgimwa alijinasibu kulinda thamani ya shilingi ya Tanzania na kudhibiti mfumuko wa bei. Yapata mwezi tangu kuapishwa kwake. Wakati wa kuapishwa,thamani ya dola ilikuwa ni shilingi za ki-Tanzania 1490.

Sasa(leo) Exchange rate ni hii:

  • 1 USD = 1585.50 TZS
  • 1 EUR = 1979.4413 TZS
  • 1 GBP = 2445.0232 TZS
  • 1 ZAR = 189.2569 TZS

Hili la thamani ya shilingi tu hivi,la mfumuko wa bei je?

wewe kweli unachekesha!yaani wewe unategemea sarafu ipate thamani kwa maneno ya waziri Mgimwa? kuna mikakati ya kiuchumi ambayo lazima itekelezwe ikiwemo swala la balance of payment! sasa mikakati hii sio ya siku moja mbili au mwezi inahitaji muda, hivo aliposema atathibiti thamani ya sarafu yetu wewe ulitazamia kesho yako ukute dola moja inauzwa shs 500/-? mpeni waziri muda tuone mkakati wake wa kiuchumi kama ni wa kushindwa au kufanikiwa tutajua lakini anahitaji muda zaidi!!
 
Tatizo sio DR MGIMWA hata ungepelekwa wewe usingefanya lolote.

Inatakiwa kuimarisha FISCAL & MONETARY POLICY zetu ziendane na changamoto cha uchumi wa kisasa
 
Alipoapishwa na kusogezewa kipaza sauti, Waziri wa Fedha Dr. Mgimwa alijinasibu kulinda thamani ya shilingi ya Tanzania na kudhibiti mfumuko wa bei. Yapata mwezi tangu kuapishwa kwake. Wakati wa kuapishwa,thamani ya dola ilikuwa ni shilingi za ki-Tanzania 1490.

Sasa(leo) Exchange rate ni hii:

  • 1 USD = 1585.50 TZS
  • 1 EUR = 1979.4413 TZS
  • 1 GBP = 2445.0232 TZS
  • 1 ZAR = 189.2569 TZS

Hili la thamani ya shilingi tu hivi,la mfumuko wa bei je?

Fanya marekebisho kwenye hii red,hiyo ex rate sio sahihi
 
Back
Top Bottom