Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao

Hatuna sababu ya kumshambulia Benard Membe, hakuna mtu anayekuwa mtenda dhambi wa milele, isipokuwa shetwani! Ameongea maneno yenye upako wa Mungu, tuyaheshimu na kuyafanyia kazi kwa tahadhali ya hali ya juu. Ubarikiwe Membe.

Amen! Amen! AMEN!
Hata Musa alilelewa na farao!
 
Maumivu ya kichwa uanza pole pole. Hata kama hawaonyeshi usoni kwamba wanaikubali CDM kwa kuwa na viongozi makini, ila mioyo yao iko CDM
 
Unajua penye ukweli uongo daima hukaa kando...

CCM wajiandaage kuwa wapinzani na wenye akili waanze mapema kuvua magamba na kuvaa magwanda...

Wabishi, kina Jk ,Wassira , Shimbo, Said mwema n.k .....Nyie andaeni risasi za kutosha maana mtatuua wengi kwa

kulazimisha ushindi 2015......

Peopless!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hatuna sababu ya kumshambulia Benard Membe, hakuna mtu anayekuwa mtenda dhambi wa milele, isipokuwa shetwani! Ameongea maneno yenye upako wa Mungu, tuyaheshimu na kuyafanyia kazi kwa tahadhali ya hali ya juu. Ubarikiwe Membe.

Mhhh, ngoja nikae kimya mie, angesema anajiunga CDM ungesema ulivyosema?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Bila kung'ata maneno hii habari ni uwongo uliotungwa na gazeti la akina Lowasa ili kumchonganisha Membe na chama chake cha MAGAMBA. Nasema hii habari ni ya UWONGO....
 
Katika hili nitabakia Tomaso. Nisipomuona katika lununga live sitaamini.
Hakawii kukanusha na kusema alinukuliwa vibaya.
 
Bila kung'ata maneno hii habari ni uwongo uliotungwa na gazeti la akina Lowasa ili kumchonganisha Membe na chama chake cha MAGAMBA. Nasema hii habari ni ya UWONGO....

mkubwa!Tupe ukweli,tena bila kung'ata maneno....sorry iv kale katabia ka hapo kwenu ka kuvaa kimatangazo mmefanikiwa kukaacha?
 
nnachojua membe kashapima upepo kaona hana chake ccm hata kama ccm itaendelea kutawala kutokana na makundi yaliyopo ndani ya chama chao..anachofanya ni kuanza kujiandalia mazingira mazuri ya kung'ata pote pote pindi mambo yakiwa magumu
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu.

Wanashindwa kusema ukweli. Membe mnamjuwa lakini au mnamsikia tu?
 
At least nimeamini kwamba kuna watu wenye busara CCM. Sio ka akina Nape, Wasirra.
 
Kwa kuwa hatujazoea kuona siasa za kumfagilia mpinzani wako kama kuna sehemu ameonyesha improvement, kuna watu watakaosema kwamba amenukuliwa vibaya
 
Bila kung'ata maneno hii habari ni uwongo uliotungwa na gazeti la akina Lowasa ili kumchonganisha Membe na chama chake cha MAGAMBA. Nasema hii habari ni ya UWONGO....

Inawezekana mkuu!nakumbuka mwaka 2009,tukiwa kwenye oparesheni sangara Kyela,tulikaa na kula chakula na mweshimiwa Mwakyembe,kwa malipo yake!
 
Napenda kuuliza swali moja tu ambalo wengi wetu tunaonekana kutokujali.
JE CHAKULA WALICHOKULA KWA MEMBE KILIPIMWA NA KUHAKIKISHWA JUU YA USALAMA WAKE?
Ni hilo tu!
 
Mnafiki, mzabizabina, nyoka wa mdimu......!

hata ccm wapo wanaipenda CDM, wengine wako huko kwa sababu ya vyeo walivyonavyo, mtu kama Membe angelikuwa hana cheo/uwaziri angekuwa amevua gamba na kuvaa gwanda, huyu ni baadhi wa wachache ndani ya CCM angalau hawanuki ufisadi wa kutisha, kama kuna mtu ana ushahidi wa ufasadi wa waziri huyu aweke hadharani.
 
Back
Top Bottom