Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

Unaota au? Kwa mwezi hiyo revenue ni ndogo sana. Magar ya mizigo yanalipa sana.

Siyo kweli. Nilimsikia yule Zakaria Hans Poppe akielezea kwenye ITV kwamba the maximum they can make ni around 4000 USD per trip. Sasa angalia costs za services za gari na ni trip ngapi anaweza kufanya per month. Kila trip inachukuwa not less than two weeks if I am not mistaken.
 
Kulingana na habari, Waziri Maige anadai kwamba ametumia nyumba yake anayoimiliki hivi sasa yenye thamani ya $410,000 kama collateral kununua nyumba ya bei ya $410,000. Hivi hii inawezakana kweli?
 
usema ukweli mimi sina tatizo na hilo la nyumba... tatizo langu kubwa ni pesa za rostam, ladwa, karmali, mehboob nk

na pia tunafahamu kwamba kwenye hi mikopo sometimes tunadeclare value kubwa wakati wa mikopo wakati tunaponunua tunalalia wauzaji kutokana na fragile market

tatizo langu ni vingapi alivyo navyo ambavyo haviko documented??
 
Am in the same business!

Mkuu, kwa vile upo kwenye business husika, tafadhali hebu tupatie ufafanuzi wa kina wa jinsi gani, mfano, rates za kusafirisha mzigo kwa trip moja ya lorry toka Dar Port hadi Congo, na vipi inawezekana lorry moja ilete kipato cha zaidi ya $10,000 kwa mwezi?
 
Mkuu, kwa vile upo kwenye business husika, tafadhali hebu tupatie ufafanuzi wa jinsi gani, mfano, rates za kusafirisha mzigo kwa trip moja ya lorry toka Dar Port hadi Congo, na vipi inawezekana lorry moja ilete kipato cha zaidi ya $10,000 kwa mwezi?
angekua kwenye hiyo business asipoteza muda kuongea ufuta humu ndani
 
Media reports this week said the minister bought the one-storey house for $700,000 (about Sh1.1billion).
Mr Maige said he obtained two loans – of Sh184 million and $200,000 (Sh320 million) – from CRDB Bank.
Showing this reporter the loan acquisition and house purchase documents, the minister said the market price of the home sold to him by Savanna Real Estate, was $450,000, but he bought it for $410,000.

According to loan documents made available to this newspaper by Mr Maige, he began servicing the second loan in January, this year, and will repay it over 48 months to December 2015 at a monthly rate of $5,127 per month (Sh8,203,200). He said this was well within his means since he has income generating businesses. "I secured the $200,000 loan from CRDB Bank after using my house worth $410,000 as collateral and surrendering the title deed to the bank," Mr Maige said.

Hold up....kwa hiyo ana nyumba ingine ambayo anaimiliki free and clear (ambayo thamani yake ni dola 410,000) na ndiyo alitumia title ya hiyo nyumba kujipatia huo mkopo wa pili wa dola 200,000 na kuongezea kwenye hela za kununua hiyo nyumba ya dola 410,000?

Something ain't right about this story.
 
Jomba kamata mwizi huyo
 
Ilo Jumba Lenyewe kama hili?
sean-combs-home-new-jersey.jpg
 
Kwa kweli what he is saying ni very possible ni kweli you can make $2,000 to $3,000 per trip to Lubumbashi kutegemeana na ukubwa wa lori say 40 feet container and the round trip takes one week kwa hivyo ni kweli kwa lori moja theoretically you can make around $10,000 kama anavyosema waziri. Cha msingi kuna garama nyingine kama hilo lori halipo kwenye hali nzuri. Vilevile tusisahau bado huyu anapata posho lukuki akiwa kama waziri/mbunge ambazo pamoja na safari zinazidi $10,000 kwa mwezi.

Tatizo kwetu hii mikopo wanapata watu ambao ni well connected, kwa nchi za wenzetu nyumba ya hio bei is well within reach ya watu wengi ambao wana kipato kizuri kwa sababu access to loans ipo. Ku mortgage nyumba moja kufund nyingine ni kitu cha kawaida kabisa na mi sioni tatizo hapo.

Kuna wabongo wengi tu wana nyumba masaki, msasani ambako nyumba ni aghali kuzidi hata huku mbezi na wamepata kihalali kabisa bila dili zozote ni mihangaiko yao tu na kujua wapi pa kuvuna.

Mi nafikiri badala ya kumulikia hivi vidili vidogo tuangalie hawa mafisadi papa na muundo mzima ambao unaruhusu politicians wetu kulipana over $10,000 kwa mwezi kwa kukaa vikao ambayo ni sehemu ya kazi yao na matumizi ya safari. Huko ndio hela zetu nyingi za kodi zinapotafunwa.

Sijui dili zake nyingine huyu bwana hila kwa hili hapa sioni kama kuna chochote to write home about.
 
Achana na Maige ili na sisi watanzania tujenge tabaka la mabepari bwana. Mnataka wote tuwesiwe na mtaji ili wakenya waje wawekeze fedha zao hapa. Watu wanataka tugawane umaskini, kama kaiba hizo fedha bora vithibitisho viwekwe. Kama hamna ushahidi mimi nampongeza sana Maige, tunahitaji watanzania wengi wa aina yake, siyo kila siku kusikiliza policy za kugawana umaskini tumezichoka
 
Ku mortgage nyumba moja kufund nyingine ni kitu cha kawaida kabisa na mi sioni tatizo hapo.

Kwa hiyo hicho ndicho alichofanya Maige? Ana nyumba ingine (yenye thamani si chini ya dola 200,000) ambayo anaimiliki free and clear ambayo ndiyo ametumia title ya hiyo nyumba kujipatia mkopo wa hizo dola 410,000?
 
Actually nilivyoisoma tena hii article nafikiri anamaana ali surrender title za hiyo nyumba Benki na SIO kwamba ana nyumba nyingine ya dola $200,000. Which makes more sense, kwa maana kwamba as things stand hii nyumba ni mali ya benki mpaka hapo atakapomaliza deni...
 
Nukuu hii hapa
"I secured the $200,000 loan from CRDB Bank after using my house worth $410,000 as collateral and surrendering the title deed to the bank," Mr Maige said.

Sasa labda ni mimi nisiyeelewa hapa.

Nijuavyo ni kwamba ukichukua mortgage loan hupewi title mpaka utakapomaliza kulipia deni lako.

He secured the $200,000 loan by using his house which is worth $410,000 as collateral. Can you use an outstanding loan to a property to secure another loan? Do they do that in Tanzania?

If not, does it mean that he owns another house which is worth $410,000, free and clear, for which he was able to put down as collateral to secure the $200,000 loan?
 
Hapana nafikiri anamaanisha nyumba hiyo hiyo maana Quote

Dar es Salaam. Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige yesterday denied reports that he acquired a posh house in Dar es Salaam's upmarket Mbezi Beach area through corruption.
Mr Maige told The Citizen in an exclusive interview that he bought the house on Plot 2001-2002 Block E for $410,000 (about Sh656 million at current exchange rates).

Media reports this week said the minister bought the one-storey house for $700,000 (about Sh1.1billion).
Mr Maige said he obtained two loans – of Sh184 million and $200,000 (Sh320 million) – from CRDB Bank.
Showing this reporter the loan acquisition and house purchase documents, the minister said the market price of the home sold to him by Savanna Real Estate, was $450,000, but he bought it for $410,000.

Unquote

Hivyo basi anamaana hiyo nyumba alinunua kwa kutumia hiyo mikopo miwili thamani ya hiyo nyumba ni $450k ila alilipa $410K na title ya hiyo nyumba ndio iko benki sioni mahali anasema kuna nyumba nyingine yeyote hapo maana angesema iko wapi na hajasema hivyo. Waandishi wetu saa nyingine wanatuchanganya tu.

Kama ni hivyo ni kawaida sana hapo maana hata kwa nchi zilizoendelea huo ndio utaratibu tena huwa kwa muda mrefu sio miezi 48 tu. Hapo kwetu NHC wanaanzisha mpango huohuo hivyo na sisi wengine tunaweza pata nyumba bora badala ya kuhangaishana na mafundi na kujenga nyumba kwa miaka 10 na zaidi.

Hapa hamna stori ndugu yangu labda waje na hadithi za kifisadi za ukweli sio hizi longolongo za mikopo...Infact mi nampongeza Maige kwa hilo wache apate nyumba na kujitanua kama ni kweli kila kitu kipo wazi kama anavyosema badala ya kununua nyumba nje ya nchi.
 
Hmmm...lakini hii hapa chini ni direct quote

"I secured the $200,000 loan from CRDB Bank after using my house worth $410,000 as collateral and surrendering the title deed to the bank," Mr Maige said.

He used his house which is worth $410,000 as collateral in order to secure the $200,000 loan. That to me means that he owns another house free and clear otherwise he wouldn't have been able to use its title as collateral for the $200,000 loan that he added to the other loan to purchase the $410,000 house.

Sasa hapo sijui tatizo ni waandishi au ni yeye mwenyewe maana hiyo ni direct quote.

Kama ni hivyo ni kawaida sana hapo maana hata kwa nchi zilizoendelea huo ndio utaratibu tena huwa kwa muda mrefu sio miezi 48 tu. Hapo kwetu NHC wanaanzisha mpango huohuo hivyo na sisi wengine tunaweza pata nyumba bora badala ya kuhangaishana na mafundi na kujenga nyumba kwa miaka 10 na zaidi.

Nayaelewa sana haya mambo ya mortgage na mimi mwenye nina 15yr fixed rate mortgage loan. Lakini kwa jinsi hii habari ilivyo inaibua maswali kadhaa. Kama ametumia nyumba yake kama collateral ya kuchukua huo mkopo wa dolari laki mbili na hati ya hiyo nyumba akaisalimisha huko benki alikochukulia huo mkopo maana yake ni kwamba, hiyo nyumba ya 410K anaimiliki kiujumla na haina deni tena. Au hajasema kwamba katumia nyumba yake ya 410K kama collateral ya mkopo wa 200K?

Hapa hamna stori ndugu yangu labda waje na hadithi za kifisadi za ukweli sio hizi longolongo za mikopo...Infact mi nampongeza Maige kwa hilo wache apate nyumba na kujitanua kama ni kweli kila kitu kipo wazi kama anavyosema badala ya kununua nyumba nje ya nchi.

Hapa sitasema sana maana sijui kwa uhakika anajishughulisha na mambo gani. Lakini kwa jinsi hiyo habari ilivyo kwangu imeibua maswali kadha wa kadha.
 
Kulingana na habari, Waziri Maige anadai kwamba ametumia nyumba yake anayoimiliki hivi sasa yenye thamani ya $410,000 kama collateral kununua nyumba ya bei ya $410,000. Hivi hii inawezakana kweli?

Afadhali na wewe umeliona hilo!

Na hiyo maana yake ni kwamba tayari alikuwa na nyumba yenye thamani ya dola 410K ambayo anaimiliki bila deni lolote.
 
Kweli tumejaza mchwa kwenye ofisi zetu. Hivi hapa tatizo ni mchwa au anayewafunga mchwa? Kuna haja ya kurejea maadili badala ya kukumbatia madili.
 
Hivi kuna waziri anaeshindwa kupata mkopo wa dola mpaka laki 5 nchi hii?

Ikiwa Mbowe ambae hana hadhi ya uwaziri kaweza kukopeshwa na NSSF mifedha chungu nzima na anakataa kuilipa itakuwa mwenye hadhi ya uwaziri?

Fikiri.
 
Back
Top Bottom