waziri maige jiuzulu.

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
Kutokana nali ya amani kuendelea kuwa tete arumeru mashariki ninamwomba waziri mwenye dhamana ya maliasili na utalii ajiuzulu mara moja kupisha uchunguzi huru,inakuwaje anaacha mali asili inaharibu amani kwa kuendeleza mabishano na yeye anakuwa kimya tu .kama ameshindwa kulinda maliasili zetu aachie ngazi nawasilisha..wsr.
 
Hujafunguka vizuri, fafanua ni kwa vipi huyu Mhe. anahusika na kinachoendelea na kampeni za Meru East.
 
Kuna maliasili inabishana na dr. Slaa mpaka amani inaweza toweka bora ajiuzulu tu lo...kwani hana askari game
Hujafunguka vizuri, fafanua ni kwa vipi huyu Mhe. anahusika na kinachoendelea na kampeni za Meru East.
 
Arumeru Mashariki kuna kampeni, hili la maliasili labda baada ya uchaguzi.
Au unamaanisha wameru ni maliasili ya nchi? hebu funguka
 
Kuna maliasili inabishana na dr. Slaa mpaka amani inaweza toweka bora ajiuzulu tu lo...kwani hana askari game

Endelea na Kampeni kwanza, acha kupinga sheria za uhifadhi. Hilo litatatuliwa baada ya uchaguzi. Kwani Wahenga walikosea waliposema kuwa mshika mbili moja humponyoka? Unataka lipi likuponyoke kiti cha Ubunge au Maliasilia.
 
Kuna maliasili inabishana na dr. Slaa mpaka amani inaweza toweka bora ajiuzulu tu lo...kwani hana askari game

ni dhambi kukosoa uumbaji wa mungu, tofauti zetu zisivuke mipaka. Epuka kumfananisha binadamu na mnyama.

..............Mungu amemuumba binadamu kwa mfano wake.........kuwa makini,chukua tahadhari.
 
Back
Top Bottom