Waziri Magufuli ageuka mbogo asusa kupokea barabara ya Kilwa

barabara ya kilwa haikubadilika. jamaa huwa anapiga mikwara kujitengenezea mazingira ya kupewa rushwa nyingi.

Mkuu jipe muda wa kuifuatilia ile barabara imetokea wapi?Je Tz tulilipa sh ngapi kwenye barabara ile?
Hivi hata kama ni msaada kwa akili yako uliona ni sahihi yeye kama waziri mwenye dhamana kuipokea hata kama ni mahandaki?na angekubali kuipokea wewe leo si ungekuja kumnanga hapa? Na kwa taarifa yako Septemba 12 mwaka 2012 Kamanda Magufuli alitembelea sehemu ya ujenzi mpya wa barabara hiyo acha kulipuka Hata kama humpendi imekula kwako huo ni msumari wa moto tulia ukuingie!
 
Baada ya kuikataa alifanya nini mbona leo ipo vilevile na hajafanya lolote? Kajamaaa kanapenda sifa za kuonekana kwenye TV basi. Ukitaka asiongee mbwembwe ondoeni kamera za TV. Ni kama kova vileeeeee

Kweli kweli kibissa
 
Baada ya kuikataa alifanya nini mbona leo ipo vilevile na hajafanya lolote? Kajamaaa kanapenda sifa za kuonekana kwenye TV basi. Ukitaka asiongee mbwembwe ondoeni kamera za TV. Ni kama kova vileeeeee

Definately
Nakuunga mkono na miguu ts all about cheap populality
 
Baada ya kuikataa alifanya nini mbona leo ipo vilevile na hajafanya lolote? Kajamaaa kanapenda sifa za kuonekana kwenye TV basi. Ukitaka asiongee mbwembwe ondoeni kamera za TV. Ni kama kova vileeeeee
Acha uongo lilitengenezwa upya la kiwango kizuri zaidi.
 
Magufuli akikataa barabara iliyojengwa chini ya kiwango. Straight to the face hakuna aibu katika maendeleo namuombea Mungu hekima achague majembe wenzake akiwemo Mwakyembe,Prof Muhongo,Deo Filikunjombe,Ester Bulaya,Makongoro Nyerere. Hawa watasaidia kuharakisha maendeleo na Watanzania muda sio mrefu watakula kuku kwa mrija.

ile iliyojengwa upya umeenda kuiangalia tena ? usimsifie mtu bila utafiti utajitia aibu .
 
Last edited by a moderator:
Haya,ataikataa katiba pendekezwaa?,,atakataa ile miswada ya mafuta na gesi?,,shtuka wewee tatizo ni mfumooooo tuubadili
 
Atufafanulie na haya1-kumuuzia nyumba ya serikali hawara yake 2-hasara ya kulipia meli ya uvuvi ya kichina 3-kulipia fidia kituo cha mafuta Mwanza-4-boti la Bagamoyo......itaendelea.

HIyo Meli ya bagamoyo ndio kituko nambari moja kwa Magufuri na CCM yake! Inatumia mafuta kwa safari ya kwendaa bagamoyo Tshs.4,000,000 na gharama ya mabaharia tshs.300,000 na ushei hivi. lakini cha ajabu kuliko hata akili ya kawaida inaenda na abilia wasiozidi watatu wakiwa wamelipa Tshs.7,500/= tu! Huyu ndo jembe la CCM; sasa sijui waliobakia huko wakoje nafikiri watakuwa visagalima!!
 
Boti ya bagamoyo inafugiwa nyuki siku hizi, billions zimeteketezwa na magufuli
 
Mkuu jipe muda wa kuifuatilia ile barabara imetokea wapi?Je Tz tulilipa sh ngapi kwenye barabara ile?
Hivi hata kama ni msaada kwa akili yako uliona ni sahihi yeye kama waziri mwenye dhamana kuipokea hata kama ni mahandaki?na angekubali kuipokea wewe leo si ungekuja kumnanga hapa? Na kwa taarifa yako Septemba 12 mwaka 2012 Kamanda Magufuli alitembelea sehemu ya ujenzi mpya wa barabara hiyo acha kulipuka Hata kama humpendi imekula kwako huo ni msumari wa moto tulia ukuingie!

Mara ya mwisho umepita lini hiyo barabara, kapite halafu uje useme na ummwagie sifa magufuli kwa hiyo barabara.
 
We ndio una siasa za maji taka,pamoja na kumufumuliwa kote hakuna cha maana kilichofanyika, kwa sasa wapo maeneo ya mtongani nenda pale mvinjeni, bandari, ufundi waliokoisha toka uone hali ya barabara ilivyoisha anza kubonyea!! hata mwaka bado

Na juzi nimepita wamaweka viraka, Huwezi amini kuwa Ile ni barabara mpya.
 
safi sana magufuli najua unavita nyingi sana zidi ya mitandao miovu ya nchi hii wanafiki wenye tamaa ya madaraka kumbe hawana uwezo wa kufanya kazi wale wanaokuongopa nama unavyosimamia mambo yako lakini tuko nyuma yako na hata kama hawataki utashianda ,
 
najua hii kazi wangekuwa wamefanya wale wenye makundi na vyombo vya habari vingi pongezi za kinafiki zingekuwa nyingi sana ,kumbe hamna kitu,
 
wakuu magufuli anamaamuzi magumu, hyo ni kati ya maamuzi yake, ila mlango aliopitia siyo mzuri
\

mkuu usiwaze kwa namna yoyote atakuwa rais ili tuone wanaomchafua wakizani ni zaifu itakuwaje maana tumezidi na siasa za kinafiki,jua huyu sio kikwete,
 
Back
Top Bottom