Waziri magufuli aanza kazi

Zote ni nguvu za soda tu! lakini inawezekana ikawa na mwanzo mzuri lakini anatakiwa kuwa makini sana kwani unapoanza kazi sehemu yoyote ile cha muhimu ni kusoma hali. Asije akaanza na moto wa mafuta ya taa ambao hishia bila hata kuona majivu!

umekuja lini TZ wewe kiasi kwamba humfahamu magufuli?
 
Utingo kweli wewe ni utingo,hujui dereva anafanya nini,just sit and wait utajua kama magufuli ana beep au ?
 
Back
Top Bottom