Waziri kivuli wa Afya DHAIFU!

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Huyu waziri kivuli wa Afya wa CHADEMA amekuwa kama wenzake wa CCMHaonekani, Hasikiki, haijulikani kajificha wapi
. Mtandao wa JF unafanya kazi nzuri kuliko huyu waziri kivuli wa Afya nathubutu kusema kuwa huyu waziri ni DHAIFU na aliyemteua kumpa nafasi hiyo naye DHAIFU kama wenzao wa CCM.

Naomba tuendelee na msako mpaka apatikane ili tujue ana mpango upi mbadala wa kutatua hili tatizo la mgomo wa madaktari na pia kumtolea mchango Ulimboka.
 
birdwatching.jpg
 
sasa tunaletewa madaktari toka Iran waziri kivuli wa CHADEMA hana la kusema juu ya hili?
 
haafu wanataka wapewe nchi

useless kabisa

ishu muhimu ya kitaifa wako kimya wanakimbia inakupa picha kuwa wao ni watu wa namna gani
 
Huyu waziri kivuli wa Afya wa CHADEMA amekuwa kama wenzake wa CCMHaonekani, Hasikiki, haijulikani kajificha wapi
. Mtandao wa JF unafanya kazi nzuri kuliko huyu waziri kivuli wa Afya nathubutu kusema kuwa huyu waziri ni DHAIFU na aliyemteua kumpa nafasi hiyo naye DHAIFU kama wenzao wa CCM.

Naomba tuendelee na msako mpaka apatikane ili tujue ana mpango upi mbadala wa kutatua hili tatizo la mgomo wa madaktari na pia kumtolea mchango Ulimboka.

Hapana yeye ni "legelege"
 
ha ha ha ha hii kali. Mambo yamekuwa magumu sasa anatafutwa waziri 'kivuli'?
 
ha ha ha ha hii kali. Mambo yamekuwa magumu sasa anatafutwa waziri 'kivuli'?

This would have been the best moment kujua hawa wanaotaka kuchukua nafasi ya CCM wangehandle vipi hizi issues

tatizo FREEMAN Mbowe kaingia mitini

DR SLAA haonekani

Waziri kivuli wa afya naye haonekani

naanza kuamini kuwa chadema ni CCM B kwani hawafanyi kazi ki professional na style yao ya kukimbia majukumu inakatsha sana tamaaa
 
Umeteremka leo kutoka sayari ya MARS?

Hivi huna habari SPIKA Anne Makinda amekataza hili jambo kuongelewa bungeni kwasababu liko mahakamani? Next time before you utter your stupidity you have to check your fact first!
 
So long waziri kivuli wa afya akithubutu kuleta altenative solution yoyote kwa kipindi hiki tete wataona kama vile anawa'underestimate, hivyo hawatapokea. Na unaonaje atoe kauli isiyo na meno, ili mradi tu katamka?
 
Ndio tatizo la kuwa mnafiki wanaogopa kutoa tamko.

Wakisema madaktari warudi kazini wanaogopa maslahi yao ya kisiasa yatakuwa hatarini. Wakisema waishindikize serikali kulipa mishahara wanaogopa bajeti ya bunge posho zinaweza kupungua maana wananchi tayari wanahoji iweje mbunge alipwe zaidi ya daktari. Kaazi kweli kweli
 
Bange la chooni lina stimu ya mavi naona ushalipuliza weye! eti zanzibar huru leo hujachoma kanisa?? manake hiyo ndo kazi yenu ninyi wapiga wali
 
Huyo waziri kivuli wa afya CDM anaitwa Dr. Anthony Gervas Mbassa Mb. Wa biharamulo magharibu. Si muongeaji sana
 
Huyu waziri kivuli wa Afya wa CHADEMA amekuwa kama wenzake wa CCMHaonekani, Hasikiki, haijulikani kajificha wapi
. Mtandao wa JF unafanya kazi nzuri kuliko huyu waziri kivuli wa Afya nathubutu kusema kuwa huyu waziri ni DHAIFU na aliyemteua kumpa nafasi hiyo naye DHAIFU kama wenzao wa CCM.

Naomba tuendelee na msako mpaka apatikane ili tujue ana mpango upi mbadala wa kutatua hili tatizo la mgomo wa madaktari na pia kumtolea mchango Ulimboka.

Atakua bubu.
 
Mnataka aongee nini wakati Mjengoni B Kiroboto alikataza suala hilo licjadiliwe? Acheni unafki JK wa Kichina ndiye mbeba zigo hili.. Ni bora Serikali ikaingia madeni kwa ajili ya maboresho ktk sekta nyeti kama Elimu na Afya tungemuelewa kuliko hali ilivyo sasa!!! Tujifunze kwenye mgomo baridi wa waalimu,Watoto wamefaulu lakini hawajui kusoma hata kuandika.. Sasa kuwarudisha ki nguvu Madaktari bila kuboresha mazingira ya kazi yao ni mbaya sana,watatuua zaidi.. Tuangalie pale tumejikwaa na c pale tuangukiapo...
 
Nafikiri mleta mada sio mfatiliaji mzuri wa mambo!

Hujui hata dhaifu alifanya kosa kulizungumzia swala la madaktari maana lipo mahakamani.

Nchi leo ime washinda mnamtafuta waziri kimvuli!

Yeye ndio atangeza mishahara, msisahau jk ashauriki.

Msisahau swala liko mahakamani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom