Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Genius Brain zezeta, huelewi kitu wewe kalale!!!!!!!!!!!!!!!! Wewe ulimleta CDM au unapiga kelele tuu!!!!!!!! Huyo Binti anazo akili timamu si kama wewe Mwana maghamba, umeelewa??????????Ameishaona mambo ndivyo sivyo ndani CDM a.k.a. MAGWANDA, sasa hapo kwa nn asijiuzulu ili kulinda heshima yake na ya ukoo wake