The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
there is something missing in this thread. Ninachojua ni kwamba kamala alipata ph d yake kwenye kutoka commonwealth univeristy kama sikosei, chuo ambacho inasemekana hakitambuliwi na tz universty commission. Na hivyo phd za chuo hicho pia hazitambuliwi. Si kwamba hana phd kabis.
kama phd haitambuliwi manake nini? Does not exist, so bad in law.usimtetee, aende akasome vyuo vinavyotambulika.thats
it.