Waziri Kamala hastahili kujiita Dokta

mnozya

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
207
44
Usiku huu nilikuwa napitia prospecta ya Chuo Kikuu cha Mzumbe ya mwaka 2008/2009, lengo nilikuwa nataka nijiridhishe kama ni halali kwa Waziri Kamala kuendelea kujiita DR. Nimefanya hivyo nikijua fika kuwa waziri Kamala bado ni mwajiriwa wa Mzumbe University ambaye yuko likizo.

NIMEKOPI NA KUPESTI KAMA INAVYOSOMEKA HAPO CHINI.

Diodorus Kamala Adv. Dip (Econ. Planning), (IDM)

MSc. (Organization Systs.), Lincolnshire,

Humberside, (UK)

MSc. (Agric Development and Rural Finance)

Bradford, (UK)

(On leave of absence)

Umefika wakati sasa anapaswa aache kujiita DR, wenzie karibia wote naona wanasoma Phd upya akiwemo Profesa (Associate) Moses Warioba aliye kuwa VC awali.

Nimemwaga hapa jamvini ili tujadili na kusema sasa imetosha, nadhani huwa anapitia JF salaam atazipata.
 
Mimi nafikiri aendeelee asiendeelee shauri zake ila ajue tuu kwamba yeye ni kiwango duni sana kwenye Level ya PhD na hana ubavu na kama angekuwa na ubavu angekuwa ameshaanza kusoma upya. Anyway, let him be kama ameamua kuwa hivyo we gat nothing to do ila ndio anaendelea kudhihirisha UKILAZA WAKE....ila tutaendelea kumuona kama wakina Prof Mitishamba tuuu
 
Usiku huu nilikuwa napitia prospecta ya Chuo Kikuu cha Mzumbe ya mwaka 2008/2009, lengo nilikuwa nataka nijiridhishe kama ni halali kwa Waziri Kamala kuendelea kujiita DR. Nimefanya hivyo nikijua fika kuwa waziri Kamala bado ni mwajiriwa wa Mzumbe University ambaye yuko likizo.

NIMEKOPI NA KUPESTI KAMA INAVYOSOMEKA HAPO CHINI.

Diodorus Kamala Adv. Dip (Econ. Planning), (IDM)

MSc. (Organization Systs.), Lincolnshire,

Humberside, (UK)

MSc. (Agric Development and Rural Finance)

Bradford, (UK)

(On leave of absence)

Umefika wakati sasa anapaswa aache kujiita DR, wenzie karibia wote naona wanasoma Phd upya akiwemo Profesa (Associate) Moses Warioba aliye kuwa VC awali.

Nimemwaga hapa jamvini ili tujadili na kusema sasa imetosha, nadhani huwa anapitia JF salaam atazipata.

There is something missing in this thread. Ninachojua ni kwamba Kamala alipata Ph D yake kwenye kutoka Commonwealth Univeristy kama sikosei, chuo ambacho inasemekana hakitambuliwi na Tz Universty Commission. na hivyo PhD za chuo hicho pia hazitambuliwi. Si kwamba hana PhD kabis.
 
BUT, that was according to details in the Mzumbe University prospectus, period! The official employer of Kamala. If Kamala's employer does not recognize the said PhD, then the latter is as good as non-existent.
Tusipende kutafuta vyanzo vya taarifa vya mitaani wakati vyanzo rasmi vipo!
 
Ongoing Supervision by Prof Kuzilwa, Mzumbe university

From 2007 Mr. Deodarus Kamala – An Evaluation of the Impact of East African Custom Union: The Case of Tanzania (preparation stage), Mzumbe Univrsity

\Wana Jf, ni kweli haistail kuitwa Dr kulingana na kamisheni ya vyuo tanzania, lakini kwa chuo alichosma Dr kamala anatambulika. na sasa anaendelea na shule.
 
Au ukiwa na Masters mbili una qualify kuwa doctor? Kama ni hivyo basi wengi wetu ni ma doctor tu siku nyingi.
 
Chuo anachosema Kamala kamaliza hata British Council hawakitambui,hawa ndio wenye mamlaka ya kutufahamisha juu ya Elimu au vyuo vya Uk.

kama KAMALA anadai alisoma kwenye chuo UK basi aongozane na wandishi wa habari hadi BRitish Council mtaa wa samora kututhibitishia ukweli wa elimu yake.

sio yeye wako Mary Nagu,Mahanga,Mathayo David,Nchimbi na mkuu wa mkoa wa Dsm bwana lukuvi ana digri ya uongo.ilitakiwa wavuliwe vyeo kwa kupeleka maelezo ya uongo.
 
Hawa jamaa wamesoma katika vyuo ambavyo si "accredited", sasa TCU haivitambui hivyo vyuo, na kama TCU haivitambui hivyo vyuo ina maana kuwa degree zao walizozipata kwa hivyo vyuo pia hazitambuliwi.

Lakini kwa wao hawana kosa kuwa walidanganya, bali walisoma pasipostahili. Dawa ni kuonesha tu elimu zao stahili na kuacha zile zisizotambulika. Na pia si lazima waondolewe kwa nyadhifa zao, manake wao hawajadanganya, labda tu itakapothibitika kuwa vyeti vyao hivyo vilikuwa kigezo cha kupata vyeo na si vyeti sahihi.
 
Hivyo vyuo havipo kabisa sio TCU isiyovitambua. mfano PACIFIC WESTERN UNIVERSITY PWU ambacho alipata digri Augustine Mrema na Warioba wa Mzumbe huko marekani wenyewe wamesema hakuna chuo cha aina hiyo.naomba tizame mjadala wa BAADHI YA MALECTURER WA MZUMBE WANA PhD feki pamoja na VC WAO. umo humu jf.

kama walidanganywa waje hadharani na kusema tulidanganywa.lakini KAMALA amekuwa akisisitiza kuwa anaonewa wivu na phD yake ina maana anaendelea kudanganya.
Nchimbi nae anasema kuwa anasakamwa bure.
 
Kwani lazima kusoma?...Maana wasanii wengi wamejaa ktk SIASA na wanaitwa watetezi au wapambanaji siku hizi....!!!

Wale wenye elimu wanafanya kudharauliwa.....

Watu wamefeli na wanaona SIASA ndio new career....!!!
 
Ongoing Supervision by Prof Kuzilwa, Mzumbe university

From 2007 Mr. Deodarus Kamala– An Evaluation of the Impact of East African Custom Union: The Case of Tanzania (preparation stage), Mzumbe Univrsity

\Wana Jf, ni kweli haistail kuitwa Dr kulingana na kamisheni ya vyuo tanzania, lakini kwa chuo alichosma Dr kamala anatambulika. na sasa anaendelea na shule.

Umenikera kuendelea kumwita Dr hapo kwenye red!
 
Kwani waandishi wa habari wana nafasi gani katika sakata hili?

KAMALA aliitisha mkutano na waandishi wa habari-press conference na kuwalaani TCU kuwa hawajui kitu, chuo alichosoma phD kipo na kinajulikana UK. waandishi wetu kwa vile hawana uwezo mzuri wakuhoji wakanyamaza, wangemwambia kwanini asipate uthibitisho toka ubalozi wa uk au british council kusema kuwa chuo cha kamala kinatambulika.mie nimeuliza kwa wanaohusika UK wameniambia hakuna kitu kama hicho yaani chuo cha kamala.
 
BUT, that was according to details in the Mzumbe University prospectus, period! The official employer of Kamala. If Kamala's employer does not recognize the said PhD, then the latter is as good as non-existent.
Tusipende kutafuta vyanzo vya taarifa vya mitaani wakati vyanzo rasmi vipo!

Prospectus za vyuo vyingi vya TZ haziwi updated (na zina makusa kibao). Wanakuwa makini kubadilisha printing date na siyo content.
 
Anyway, Kamala huwa yuko smart, sijui ilikuwaje akajiingiza kwenye mkenge wa ukihiyo huu, ninavo mfahamu hawezi shindwa pata PhD, na kwakweli bora ameamua kurudi shule aondokane na fedheha hii!
 
Prospectus za vyuo vyingi vya TZ haziwi updated (na zina makusa kibao). Wanakuwa makini kubadilisha printing date na siyo content.

Mkuu hiyo prospecter iko updated 2008/2009 na kwa kukuthibitishia hilo wote wliokuwa na Phd za common wealth na Western Pacific University HAZIJATAMBULIWA NA MZUMBE akiwamo Moses Warioba, Habbi, Sotta, na Kamala.

Kwa mujibu wa hiyo prospecter Warioba, Habbi na Sotta wanasotea Phd nyingine.

Kimsingi Mzumbe haimtambui Kamala ka ni Dr isipo kuwa imemtambua kama Mr. mwenye shahada mbili za uzamili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom