Waziri Kairuki kushindwa kutekeleza azimio lake la uhakiki wa watumishi hewa leo

Kairuki aliahidi wiki iliyopita kuwa leo atamkabithi Rais ripoti ya watumishi hewa, cha kushangaza hajafanya hivyo na yupo kimya. Unapokuwa kiongozi muwe mnajaribu kuwa wakweli kwa umma, kuitwa mwanasiasa siyo kila kitu ni siasa njia ya muongo ni fupi mno. Hebu mwogopeni Mungu uongozi ni wa mpito tu.
mkuu zile ni mbwembwe tu, hakuna cha makabidhiano utakayo yasikia leo wala kesho...hapa kazi tu
 
Kairuki aliahidi wiki iliyopita kuwa leo atamkabithi Rais ripoti ya watumishi hewa, cha kushangaza hajafanya hivyo na yupo kimya. Unapokuwa kiongozi muwe mnajaribu kuwa wakweli kwa umma, kuitwa mwanasiasa siyo kila kitu ni siasa njia ya muongo ni fupi mno. Hebu mwogopeni Mungu uongozi ni wa mpito tu.
so far sijamuona kiongozi wa kumuamin, wewe umemuonaaaaaa? jibu ni hapana for sure lakin cheo ni dhamana wasisahau
 
Hivi Wewe ndo uchoki tu kuleta uzi kama huu serikali yenyewe unaijuwa ilivyo, hata yeye waziri anaogopa ujuwi akipeleka orodha wakagundulka wengine hewa wapo so watamtumbua.
 
Kairuki aliahidi wiki iliyopita kuwa leo atamkabithi Rais ripoti ya watumishi hewa, cha kushangaza hajafanya hivyo na yupo kimya. Unapokuwa kiongozi muwe mnajaribu kuwa wakweli kwa umma, kuitwa mwanasiasa siyo kila kitu ni siasa njia ya muongo ni fupi mno. Hebu mwogopeni Mungu uongozi ni wa mpito tu.
Kwani alisema akimkabidhi ataita vyombo vya habari?
 
Mbona uhakiki haujafanyika mambo ya ndani?POLISI kibao wenye vyeti fake,vya marehem vya ndugu nk wanadunda tu.au uhakiki ulikua kwa walimu tu?
 
Polisi, jwtz aka wazee wa usafi septemba moja, uhamiaji, magereza na vyombo vingine vya kutufanya tuishi bwerere mbona bado hatujasikia wala kuona uhakiki?? Kama kazi tayari basi na uhakiki wenyewe utaonekana hewa
 
Huko kwa wazee wa usafi Sept 1 ndio usiseme nusu yao wanaweza kutolewa
 
Hizo takwimu zao za kubumba wala siziamini hata kidogo. Nahisi Wanakuza takwimu ili ionekane kuwa tatizo lilikuwa kubwa kumbe siyo.
 
Back
Top Bottom