Waziri kagasheki hakusaini mkataba na seattle sounders fc

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
FRIDAY, JULY 20, 2012







Wizara ya Maliasili na Utalii inafafanua kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Balozi Hamis Kagasheki hajasaini mkataba wowote na timu ya Seattle Sounders FC ya Marekani kama ilivyoripotiwa na chombo kimoja cha habari cha hapa nchini.

Alichofanya Waziri Kagasheki ni kutembelea uwanja wa mpira wa timu hiyo ya Seattle Sounders FC kuona matangazo yaliyowekwa hapo uwanjani baada ya timu hiyo kuanzisha ushirikiano na Tanzania katika masuala ya kutangaza utalii. Mambo muhimu katika ushirikiano huo ni uwekwaji wa alama za vivutio vya utalii vya Tanzania katika maeneo mbali mbali, kama picha za Mlima Kilimanjaro, Hifadhi za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar.

Picha hizo zinazohusu utalii wa Tanzania zilionekana kwa mara ya kwanza tarehe 18 Julai 2012, siku ambayo timu ya Sounders FC ilichuana na Chelsea FC hapo uwanjani.


Waziri wa Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Balozi Hamis Kagasheki (Mbunge) alikuwa miongoni mwa Watanzania waliokwenda kwenye uwanja huo kushuhudia uamuzi huo wa timu ya Seattle Sounders FC. Hao ni pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Balozi Mwanaidi S. Maajar, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi wa Utalii na maofisa wengine kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii Utalii, Ubalozini na maofisa wa Seattle Sounders FC.


Akiwa hapo uwanjani, Waziri Kagasheki alisema kuwa ushirikiano huo utatoa ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani, hasa katika Pwani ya Magharibi ya nchi hiyo.



George Matiko
MSEMAJI
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
20 Julai 2012
Simu 0784 468047








A3789D263F82476687DEEA3A5E69479B.ashx


Presented By:

Sounders FC announce partnership with Tanzania

Posted by: Sounders FC Public Relations
07/18/2012



4f87b59f12404ae6b545f20a460af7aa.ashx


Two prominent murals will be displayed inside the stadium in the northwest and northeast tunnels.


RENTON, Wash. – The Seattle Sounders FC announced today a partnership with Tanzania, the largest country in East Africa. To mark the occasion, Tanzania's Minister for Natural Resources and Tourism, Honorable Ambassador Khamis S. Kagasheki, MP, joined by the Tanzania Ambassador to the U.S., H.E. Ambassador Mwanaidi S. Maajar, led a senior level tourism delegation to Seattle.

Key elements of the partnership include large-scale, full-color signage at highly visible areas within CenturyLink Field and Starfire Sports Complex, the Sounders FC training facility located in Tukwila, WA. The signage will feature iconic images of signature tourist attractions including: Mount Kilimanjaro, The Serengeti, Ngorongoro Crater and Zanzibar.

"Our partnership with the Tanzania Tourist Board provides a visual reference to a country with unprecedented natural wonders and celebrated destinations to our fans," said Sounders FC owner Joe Roth. "It also offers an excellent opportunity to access a key region in the global market."

Hon. Amb. Kagasheki in commenting about the partnership with the Sounders FC noted, "We believe that this multi-faceted partnership will enhance our efforts in promoting Destination Tanzania in the United States especially on the West Coast as well as promote investment and trade opportunities in Tanzania."

Two prominent murals will be displayed inside the stadium in the northwest and northeast tunnels. The murals will be visible for the first time during the nationally televised Sounders FC versus Chelsea FC match at CenturyLink Field on July 18. The Tanzania Tourist Board will also have a presence in the Sounders' pre-match fan zone, ‘Soccer Celebration', to share travel information about their country.

The Sounders FC began discussing a relationship with Tanzania during the 2010 season when Sounders FC assistant coach/scout Kurt Schmid traveled to Tanzania to expand scouting efforts in the often over looked countries in East Africa and attend National Team training. The team invited forward Mrisho Ngassa to train with the Sounders FC.

Ngassa came to the Sounders FC on trial from Azam FC, one of the clubs which plays in the Tanzania Premier League. Ngassa saw limited action during the team's 2011 friendly with Manchester United.

A delegation from Tanzania is accompanying the Hon. Amb. Kagasheki from Tanzania to announce the partnership and attend the match with Chelsea FC. Members of the delegation include: Mr. Ibrahim Mussa, Director of Tourism, Ministry of Natural Resources and Tourism; Dr. Aloyce K. Nzuki, Managing Director, Tanzania Tourist Board (TTB); Mr. Deogratias S. Malogo, Research and Development Manager, TTB; Mr. Johnson M. Manase, Manager Tourism Services and Customer Care, Tanzania National Parks (TANAPA); Ms. Veronica Ufunguo, Manager Tourism Services, Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA); Mr. Egidius Mweyunge, PA to the Minister of Natural Resources and Tourism; and Mr. Philipo Cyprian, journalist, Tanzania Broadcasting Corporation.

For more information visit
http://www.visit-tanzania.go.tz



 

Kweli Wizara ya UTALII kuna Kashfa... Sasa ni Mawaziri Wangapi?

Hadi Kagasheki? Nilikuwa nadhani sio GURUDUMU la CCM!!!

KUmbe hawa watu waligoma Kumchukua NGASSA, wakamchezesha kumfurahisha Rais wetu ili wapate mikataba?

That's LOW!!!
 
Maajar alipokuwa uk alianzisha dili kama hili la kutangaza utalii kwenye teksii hapo ndio akina juma pinto walipokula mkwanja wa nguvu
 
Back
Top Bottom