Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Hivi kuna mtu anayo mafaili ya huyu bwana au picha akiwa na radicals kisha tujue kama alikuwa si radical enzi zake wakati anasoma University. Waziri mzima badala ya kureason na hawa wanafunzi anaanza kuwa demonise.
What a twat!
What a twat!
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe, amesema fujo zinazotokea mara kwa mara katika vyuo vikuu nchini zinatokana na viongozi wa serikali za wanafunzi katika vyuo husika.
Alisema hali hiyo inatokana na utamaduni uliojengeka miongoni mwa wanafunzi kuchagua viongozi wao miongoni mwa wanafunzi ambao wana misimamo mikali na wepesi wa kuhimiza au kufanya vurugu.
http://haki-hakingowi.blogspot.com/