Waziri Jenister Mhagama atoa mwezi mmoja kwa wafanyakazi wa wizara yake kuhamia Dodoma

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera, uratibu, bunge vijana na watu wenye ulemavu Jenister Mhagama ametoa muda wa mwezi mmoja kwa wafanyakazi waliopo chini ya wizara yake wawe wamehamishia ofisi zao Dodoma kutekeleza agizo la Magufuli la kuhamishia makao makuu Dodoma.

Amewataka wafanyakazi chini ya ofisi yake kulekea Dodoma kabla ya wiki ijayo ili kuweka mazingira ya wizara nyingine zitakazohamia yawe tayari.

Pia ametaka taasisi yoyote ilizoyopanga bajeti ya ujenzi wa ofisi kwenye bajeti ya mwaka huu basi ujenzi huo ukafanyike Dodoma

 
Huyu mama sijui kwanini bado yupo kwenye baraza! Ukianzia ujinga wa kule Songea NFRA alihusik sana kupeleka vimemo Ghala likanunu mahindi mabovu.

Ikaja uteuzi wa raia wa Uganda yupo tu na mengine chungu nzima.. haniridhishi kabisa kwa huu unafiki wake.
 
Back
Top Bottom