Waziri Dr. Milton Makongoro Mahanga na PhD FEKI

Unajua ukijiita PHD Holder wakati sio kwanza wajishushia hadhi.
Bse maisha yako na unayoongea hayatareflect elimu ulio nayo.
Ujiko mwingine haufai jamani quite unprofessional

Kwani hao wenye PHD feki ni watu professional?
 
Karume mnayemwongelea hana Ph.D ya kusomea, ana Ph.D ya heshima kama akina JK, Salim Salim, Kaunda, Mzindakaya, Rev. Rwakatare, Mwalimu n.k. Mtu wa Form Six with a diploma, advanced or not, hawezi kuchupia degree programme ya Ph.D! Hii kapewa, na yeye kasema hivyo!

Wandugu Fataki kanena,Je wale jamaa wenye PHd feki, hasa walio katika siasa, wafanywe nini, maana wanzifedhehesha taaluma.
 
Thread kama hii ilikuwa ndefu sana kwenye forum iliyokufa ya Youngafrican.com. Kule bwana jamaa walichambua kwa kina baraza lote la mawaziri na bunge through the bunge website against a website that has a listing of all diploma mills. Nakumbuka kama ukiacha hao waliotajwa hapo juu mwanzo wapo pia wengine wengi tu.

Agustino Lyatonga Mrema - Pacific Western University, a diploma mill. Yeye alipoenda kuchukua hiyo "degree" alikwenda na matarumbeta kibao, vifijo na nderemo.

Mustafa Mkullo - Almeda University, a diploma mill. Kule youngafrican.com nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa associate degree kwa mbwa anayeitwa "Wally" mali ya mwandishi mmoja wa habari huko Marekani (In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate degree on behalf of his dog, Wally. Part of the "life experience" listed on the application was "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally an associate's degree in childhood development with a course list including European culture, college algebra, American history, and public speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."" Almeda University - Wikipedia, the free encyclopedia

Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International - I think even Sofia Simba anayo ya huko (sasa Mwanakijiji asije akanishambulia kuwa namtendea vibaya interviewee wake!!!!)
 
[/url]

Hii laaaaazima atakujibu!
 
Umeshajibiwa na post #30 uk.3 na mkuu mujuni2 kuwa Mathayo ni bwana mifugo - dokta wa mifugo. PhD kaipata wapi tena? Anajua hata kuandika thesis huyo Mathayo?
Watakuaward hiyo bachelor ya mifugo bila kuandika thesis?
WAZEE PUNGUZENI MWENDO....TARATIBU.
 
Watakuaward hiyo bachelor ya mifugo bila kuandika thesis?
WAZEE PUNGUZENI MWENDO....TARATIBU.

wanataaluma wote wa mambo ya tiba za binadamu na wanyama wanaitwa madaktari (Kuanzia MD, Dental surgery, Medical assitants-kama bado wapo-, clinical officers, veterinarians etc).

Madaktari wengine ni wale wa falsafa.

Labda wanahabari wangelijua hilo fika ili wakati wanatuandikia habari watueleze Dr mkusudiwa ni daktari wa aina gani.

Dr Aisha Kigoda (Medical assistant?)
Dr Shein (Veterinarian)
Dr Hussein Mwinyi (MD)
Dr Salma Kikwete (Dental surgery)
Dr Mwandosya (PhD)
Dr Abeid Karume (Honorary)
Dr Nchimbi (??)
etc..
 
Usije ukamfananisha na marehemu Dk Omari Ali Juma
 
Sijui kama imepitwa na wakati ama vipi lakini tu tukumbushane juu ya Rais Amani Karume katika mchakato wa kuteuliwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. Kama sijakosea alitetewa na M/kiti wa CCM wakati huo, Bw Ben Mkapa kwa kukosa kwake shahada ya kwanza na wakasema uzoefu katika uongozi wake unatosha. Kipindi hicho hakuwa na shahada ya kwanza na ndani ya miaka pungufu ya 10 ana PhD!!! Kama kuna anayekumbuka vizuri atukumbushe.
 
Yakhe yameshapita hayo...sasa ana digrii(shahada) na UPhd... na mwaka kesho anastaafu uprez...
 
Mi naona ni vizuri vyeti vya mawaziri,wabunge pamoja na wakuu wote wa idara vichunguzwe ili kubaina kama ni feki au la
 
Swala hili la watawala na watu wengine mbalimbali kuwa na vyeti feki limeshajadiliwa sana hapa JF na hata kwenye majukwaa mbalimbali,lakini inaonekana serikali imeweka pamba masikioni.Lakini naomba serikali itambue kwamba tatizo hili lina angamiza taifa letu.Matatizo yote yanayolikumba taifa yanaelekea kuhusiana na uovu huu.Mtu anayegushi cheti ni mtu aliyeharibikiwa kimaadili,kwa hiyo anaweza kujiingiza kwenye ouvu wowote.Hata ki saikolojia ni mtu ambaye hayuko stable.Watu wa namna hii ni watu wa kuogopa sana katika jamii,lakini kwa bahati mbaya wengi ndio wanaoliongoza taifa letu.Tuko njia panda.Taifa liamke vinginevyo litaangamia kabisa.

Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?

Makongoro Mahnga alipta phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?

Jamani leteni mahoni
 
Haya mtakumbuka Kihiyo aliipataje ubunge hadi leo jina lake linatumika kuwataja walio na vyet vya kugushi-Ni msamiati huo.
Sasa kama Mahanga anayo degree ya siku kumi na nne kutoka D.C na inajulikana kuwa amekadamiza shahada ya falsafa kwanini tumwite Dr.??
Hebu tumwoshe kuwa hatuitambuii kwanza tumwite Bwana Makongoro Mahanga.Kumwita Dr.NI KUKUBALIANA NAYE KWAMBA NAYE ALIHITIMISHA SHULE KATIKA KIWANGO HICHO KUMBE SIYO.
 
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?

Makongoro Mahnga alipta phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?

Jamani leteni mahoni

not worth discussing
 
PhD Fake ni moja ya Matokeo ya Kuporomoka kwa maadiri nchini Tanzania.
Hivi umewahi kujiuliza kwa nini Waheshimiwa Mafisadi wa CCM kama Edward Lowassa, Rostama Aziz Chenge,Jakaya Mrisho Kikwete, Basil Mramba nk wanaendelea kuiba Fedha za serikali?? Mafisadi hawa hata kabla ya kuanzisha wimbi la kuiba Fedha nyingi mno za serikali walikuwa na Fedha nyingi tu walizo iba miaka ya zamani.

MAFISADI wa CCM wanaiba Fedha ili kutengeza DUDE fulani kubwa lenye mtandano mpana sambamba na mtandao wa serikali, lenye mikono mirefu na makucha, lenye miguu yenye nguvu na uwezo wa kuhimili vishindo, lenye vichwa vingi na uhai zaidi mmoja ili kuliwezesha kuishi hata pale likijeruhiwa vibaya kwa donda la mauti,lenye ushawishi,mvuto na matamanio kwa walio wengi,Lenye uwezo wa kuwapa nguvu kuu za ajabu za kupata kila wakitakacho.DUDE hili limekwisha umbwa na kuwekwa kila kitu isipokuwa kichwa kimoja kilicho sehemu ya vile vichwa vingi. DUDE hili lipatapo kichwa kile, HAKUNA ATAKAYE WEZA KUPAMBANA NALO PEKEE YAKE.

Maadiri yamepungua sana nchini Tanzania ili kutoa nfasi ya kuhamisha rasilimali kubwa ya Taifa iliyo raw Material ya kuimarisha ujenzi wa DUDE( System) litakalo tufanya vibaya kuliko ubaya waliofanya wakoloni wote kwa pamoja; Waarabu, Wajerumani na Waingereza.

Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?
Makongoro Mahnga alipta
phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?

Jamani leteni mahoni
 
Nyie mijitu mnazungumza vitu ambavyo wengi wenu mnaonyesha ni jinsi gani mlivyokuwa na elimu ndogo. Hanma uhakika na kile mnacho kisema, kwasababu huyu mtu aliyeweka list ya majina ya wenye PHD feki ukiyaangalia yale majina kwa mfano Dr Didas Massaburi amemsingizia hata kwa ukiangalia tu, unaona kabisa huyu mtu unaesema amenunua PHD ndio anaevifanya vitu vya kisomi na kuitumia PHD yake vizuri kuliko yule unaemuona anayo kihalali. Sasa mimi ningefulahi sana kama tukiwajaji hawa watu wenye PHD kwa kuangalia Je PHD zao wanazitumiaje Kusaidia Jamii yeye mwenyewe na Taifa letu ? Kama itakuwa haisaidii Jamii na taifa letu basi huyo ndio ana PHD feki. tukifanya hivi tunaweza kufika mbali hata kimaendeleo
 
Back
Top Bottom