senator, Asante kwa masahihisho Mkuu.....niko sawa sasaICU hapo juu hujampata vyema isae...anasema sio free which means the govt of TZ have to pay for it!!
senator, Asante kwa masahihisho Mkuu.....niko sawa sasaICU hapo juu hujampata vyema isae...anasema sio free which means the govt of TZ have to pay for it!!
italipa serikali... kwa hela ya donor au walipa kodi ambao ni maskini kule nkoaranga wanaishi kwa shida!!Ninachoelewa hizo tiba sio free huko nairobi japo nadhani serikali ya tanzania ndio italipa. Si bora hizo hela wangelipia hospitali za tanzania ili kuziboresha
Halafu pale makumbusho penye nyumba za watu wa usalama si kuna bonge la hospital and very modern, si angeenda pale?Wasitake kusingizia foleni kwanza mtu kama waziri akipelekwa Muhimbili hua kuna huduma za VIP za viongozi hawezi kupelekwa Muhimbili akapanga foleni, sema hapo kuna jambo linafanyika nyuma ya pazia.Sio kusingizia foleni.
..Carmel kula senksi yangu kwanza...ukitaka kutambua ufisadi na ubinafsi wao angalia hili suala lao wanalopigiana kelele kuhusu kuongeza posho za wabunge. Kuna watu ambao mimi naamini walistahili sana kuboreshewa mazingira ya kazi na mafao kama walimu na madaktari lakini hakuna mbunge hata mmoja ambaye amejitoa mhanga kulizungumza hili. Unajua wakati mwingine unaweza kudhani viongozi wetu sijui ndio njaa au kuna shetani gani mle mjengon akili zao huwa mgando zaidi ya maziwa....Halafu pale makumbusho penye nyumba za watu wa usalama si kuna bonge la hospital and very modern, si angeenda pale?
Huko bungeni mnashindwa kutetea na kuboresha huduma za afya including incentives kwa madokta matokeao yake wote wanaishia nchi za nje halafu mnabaki kukimbia mara india, mara nairobi kama vichwa vya wendawazimu.
Hivi hospitali zetu zinashida gani mie sielewi, msaada tutani.
..lakini hakuna mbunge hata mmoja ambaye amejitoa mhanga kulizungumza hili. .
Flashback... Sijui kama Foleni zimepungua???
...loh! Mkuu wewe umepitwa na wakati! Thread ya mwaka 2010 umeinyofoa wapi! "zilizopendwa"Flashback... Sijui kama Foleni zimepungua???