The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,393
- 12,977
Waziri ataka wanafunzi waandamane kuwadai wenzao waliokopa walipe | Send to a friend |
https://www.jamiiforums.com/#https://www.jamiiforums.com/#0 #3 bugota 2011-11-07 07:55 Mheshimiwa tunashukuru kwamba umeongelea hilo. Lakini ikumbukwe kwamba swala la kusomeshwa na serikali halijaanza 2004/2005 pekee bali ni kuanzia enzi zile zenu nyie Vigogo. Tena nyie ndio mlikula pesa nyingi za Watanzania kuliko sisi ambao hata pesa zilikuwa zinatolewa baada ya kuwa tumepigwa Mabomu pale Survey karibu na Mwenge.
Pia Serikali imeshindwa Kudhibiti Wawekezaji amabao wanaendelea kupora ajira za Watanzania migodini na kuingiza watu wao wasio hata na elimu na kwa kuwa UHAMIAJI nao wamejaa RUSHWA, wanatoa tu vibali vya kufanya kazi kwa watu hawa.
Mbali na hayo, Serikali imeshindwa kuwaamuru Mafisadi woote warudhishe pesa za Watanzania ziweze saidia haya.
Sasa kama tumesoma halafu ajira zinaenda na wageni, mnategemea tulipe vipi wakati sasa hivi tumelazimika kufanya kazi ambazo hazihusishi kabisa Elimu zetu?
Hapa mmekwama.... Haturudishi ng'o hadi mrudishe pesa za EPA, RICHMOND na DOWANS..
Quote
https://www.jamiiforums.com/#https://www.jamiiforums.com/#+1 #2 matiko matale 2011-11-07 07:43 walioiba ndo waanze kurudisha kisha waliokopa wadaiwe
Quote
https://www.jamiiforums.com/#https://www.jamiiforums.com/#0 #1 rutashubanyuma 2011-11-07 06:53 Quote:
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amewasihi wanafunzi wa elimu ya juu nchini kuandamana ili kushinikiza waliokopeshwa fedha za elimu miaka ya nyuma walipe ili wapewe wengine.
huyu atabaki kuwa naibu tu...................hajui ya kuwa ugumu wa maisha ndiyo unawafanya wasiweze kulipa.................jawabu ni kuwasamehe wote wale itakaobainika hawajapata kazi kwa miaka 5 tangia wamalize mafunzo yao....................mbona makampuni hewa husamehewa madeni na hata bunge huhusishwa?